TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,436
- 3,557
baisa ni hela ndogo sana akae nayo ndani tu,kule oman wanatumia kuwaawadia wa afrika kipindi cha sikukuu pamoja na watotoWamekudanganya waliokwambia thamani hiyo.
100 blBaisa ni Sawa na Shillingi 6 na senti 50.
Baisa zikiwa 1,000 (elfu moja) yaani hizo noti za 100 ziwe 10. Ndiyo shillingi 6,500 (elfu sita na mia tano).
Kwa hiyo kuna Baisa na kuna Mwaisa?Samahani wadau mimi na Baisa 100 ya Oman jee ni wapi naweza exchange Nime endaa badhi ya exchange za Tanzania zinakataa nafanya vipi 0688890887.View attachment 2745222
Kwenye mitumba ya mabegi ya wanawake, waliacha kuzitumia.umeipata wapi
Jombaa hiyo pesa kwa Tanzania 🇹🇿 hununui hata Kashata kwa Mgosi... ndo manake nlitaka useme umeipata wapi hela ndogo namna hiyo?Elewa swali uliza swali.. Ukianza kuliza nimepata wapi haisaidii.
Ni rial 0.01 siyo 0.1Baisa ni pesa ndogo sana,pesa ya OMAN inayobadilishika kirahisi ni rial,na ndio pesa yenye thamani,Rial 1=1000 baisa,maana yake wewe hapo una Rial 0.1 ambayo kwa pesa ya tanzania ni sawa na 650 tu,nani akubali kubadili?
Brother hii ni Baisa 100 ambayo ni sawa na 633 Tsh, Ingekua 100 Riyal ndiyo ungepata 650,000/=Samahani wadau mimi na Baisa 100 ya Oman jee ni wapi naweza exchange Nime endaa badhi ya exchange za Tanzania zinakataa nafanya vipi 0688890887.View attachment 2745222
Sijaelewa hii imekaajee na niko na riyal 1 ya oman na riyal 5 ya saudi Arabia vipi kipi ni kipiBrother hii ni Baisa 100 ambayo ni sawa na 633 Tsh, Ingekua 100 Riyal ndiyo ungepata 650,000/=
Sijaelewa hii imekaajee na niko na riyal 1 ya oman na riyal 5 ya saudi Arabia vipi kipi ni kipiJombaa hiyo pesa kwa Tanzaniahununui hata Kashata kwa Mgosi... ndo manake nlitaka useme umeipata wapi hela ndogo namna hiyo?
Sijaelewa hii imekaajee niko na riyal 1 ya oman na riyal 5 ya saudi Arabia na Baisa 100 ya Oman vipi kipi ni kipi na haitumikii kivp..naomba nileweshe samahaniWamekudanganya waliokwambia thamani hiyo.
100 blBaisa ni Sawa na Shillingi 6 na senti 50.
Baisa zikiwa 1,000 (elfu moja) yaani hizo noti za 100 ziwe 10. Ndiyo shillingi 6,500 (elfu sita na mia tano).
Rial moja ya Oman utapa shillingi elfi sita na mia tano (6,500) au pungufu au zaidi kidogo ya hapo kutegemea na bei ya siku hiyo.Sijaelewa hii imekaajee niko na riyal 1 ya oman na riyal 5 ya saudi Arabia na Baisa 100 ya Oman vipi kipi ni kipi na haitumikii kivp..naomba nileweshe samahani
Kwenye mabalo ya nguo za mtumba hiyoo, mimi ninazo yuan za china km 30k huwa natoa kwenye mtumbaumeipata wapi
vipi na inakuwaje inaitwa Baisa..?Rial moja ya Oman utapa shillingi elfi sita na mia tano (6,500) au pungufu au zaidi kidogo ya hapo kutegemea na bei ya siku hiyo.
Rial tano ya Saudi Arabia utapata shillingi elfu tatu na mia tatu (3,300).
Baisa mia Oman utapata shillingi sita na senti hamsini (6.50) kama wataichukuwa ikiwa 100 moja tu.
Kama unayo google hata wewe mwenyewe unaweza kuangalia thamni yake, andika "Badili RIAl Oman 1 kwa TZ Shillingi. Na zingine fanya hivyo hivyo kila moja kwa jina lake.
Niliokoo nayo imeandikwa baisa100 ndio maana.Rial moja ya Oman utapa shillingi elfi sita na mia tano (6,500) au pungufu au zaidi kidogo ya hapo kutegemea na bei ya siku hiyo.
Rial tano ya Saudi Arabia utapata shillingi elfu tatu na mia tatu (3,300).
Baisa mia Oman utapata shillingi sita na senti hamsini (6.50) kama wataichukuwa ikiwa 100 moja tu.
Kama unayo google hata wewe mwenyewe unaweza kuangalia thamni yake, andika "Badili RIAl Oman 1 kwa TZ Shillingi. Na zingine fanya hivyo hivyo kila moja kwa jina lake.
Ndivyo kama nilivyokueleza hapo juu.Niliokoo nayo imeandikwa baisa100 ndio maana.
Hizo ni pesa tofauti, neno Rial lisikuchanganye, 1 oman rial ni sawa na 6,500/= tsh, 1 Saudi Riyal ni sawa na 650/= tshSijaelewa hii imekaajee na niko na riyal 1 ya oman na riyal 5 ya saudi Arabia vipi kipi ni kipi
Jichekeshe kama umetiwa kidolee vilee..mitanganyika