Bahresa katusahau sisi walevi??

Bahresa katusahau sisi walevi??

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1,884
Reaction score
1,466
Jamani leo mapemaa kwenye saa 4 hivi asubuh kabwela mwenzenu baada ya kunywa supu nimeamua nianze mapemaa mambo yetu yale kwa kutoa lock kwa KILIMANJARO bariidi...

sasa ndo nikaanza kuwaza kikabwela hivi huyu ndugu yetu bahresa mbona kashawahudumia makundi mengine ya jamii kwa bidhaa zake sasa inakuaje kwa sisi watumia kilaji? au tumemkosea nini?
jaman kama kuna mtu huku jf amfikishie taarifa kuwa katusahau eti! basi angalau atuletee AZAM LAGER, AZAM LIGHT au hata ikiwezekana AZAM KIROBA. jaman yangu ni hayo tuu.

Waiterrr.... KILAMANJARO baridi hapa usisahau bili yangu tafadhal.

Jioni nitaanza bili nyingine.
 
Halafu bei zake sasa.azam lager 700,azam light 300 azam kiroba 100.
 
Imani yake haimruhusu kwani hana imani dhaifu
 
Bakhresa ameishika dini yake hata kwenye boti zake za kwenda Zanzibar pombe hairuhusiwi kunywa hata kama kwenye begi una wisky zako. Good for him.
 
Hahahah huu uzi umenichekesha sana.
Maana jamaa kaona Bakhresa ametengeza kila kinywaji ila kwenye Ulabu karuka.
 
Bakhresa ameishika dini yake hata kwenye boti zake za kwenda Zanzibar pombe hairuhusiwi kunywa hata kama kwenye begi una wisky zako. Good for him.

kama ameshiaka dini mbona kwenye king'amuzi chake kakubali chaneli zisizo na maadili. chaneli zinaonesha muziki watu wapo nusu uchi. hii dunia ukitaka hela bhana....!!!
 
bakhresa ataku buruza mahakamani chief
 
Azam Lager, Azam light, Azam Kiroba teh teh teh khe khe khe kho kho! Azam condom. Hiii hiii koh koh!
 
Tbl haiwatoshi? Yani mnataka kila pembe ya nchi hii inuke mipombe yenu...mxiiiiuuuu....
 
Karibuni..........


41W8ZWT0ZjL._SX300_.jpg
 
Imani yake haimruhusu kwani hana imani dhaifu

Allah of Mecca amemkataza kuuza hapo mapepo....

Hakuna cha imani kali wala nini sema tu labda hajaiona hiyo fursa au bado anamashaka nayo au anajipanga. Yule ni mfanya biashara anachoangali yeye ni fursa tu. Mbona azam tv king'amuzi baadhi ya channel hazina maadili ya imani yake? Tena ukienda deep hata soka analoshabikia ni ushwetwani mtupi. Tokeni zenu hapa mshaniuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom