Bahresa katusahau sisi walevi??

Bahresa katusahau sisi walevi??

jamani leo mapemaa kwenye saa 4 hivi asubuh kabwela mwenzenu baada ya kunywa supu nimeamua nianze mapemaa mambo yetu yale kwa kutoa lock kwa KILIMANJARO bariidi...

sasa ndo nikaanza kuwaza kikabwela hivi huyu ndugu yetu bahresa mbona kashawahudumia makundi mengine ya jamii kwa bidhaa zake sasa inakuaje kwa sisi watumia kilaji? au tumemkosea nini?
jaman kama kuna mtu huku jf amfikishie taarifa kuwa katusahau eti! basi angalau atuletee AZAM LAGER, AZAM LIGHT au hata ikiwezekana AZAM KIROBA. jaman yangu ni hayo tuu.

waiterrr.... KILAMANJARO baridi hapa usisahau bili yangu tafadhal. jioni nitaanza bili nyingine.

Hahahahah,mkuu umenifanya nicheeeeke! Shukran kwa hlo
 
Eti azam kiroba,najaribu kukijengea picha hicho kiroba.
 
jamani leo mapemaa kwenye saa 4 hivi asubuh kabwela mwenzenu baada ya kunywa supu nimeamua nianze mapemaa mambo yetu yale kwa kutoa lock kwa KILIMANJARO bariidi...

sasa ndo nikaanza kuwaza kikabwela hivi huyu ndugu yetu bahresa mbona kashawahudumia makundi mengine ya jamii kwa bidhaa zake sasa inakuaje kwa sisi watumia kilaji? au tumemkosea nini?
jaman kama kuna mtu huku jf amfikishie taarifa kuwa katusahau eti! basi angalau atuletee AZAM LAGER, AZAM LIGHT au hata ikiwezekana AZAM KIROBA. jaman yangu ni hayo tuu.

waiterrr.... KILAMANJARO baridi hapa usisahau bili yangu tafadhal. jioni nitaanza bili nyingine.
You made my day ningekuwa na namba yako ya Airtel ningekutumia Airtel Money uongeze kinywaji...ila kama hutojali unaweza endelea na kinywaji kwa bill yako untill futher notice!
 
Shikamoo kabwwla,me nilianza na nyagi ,Nambie hiv sahv nisaangapi?nataka nimuwaishe mtoto shule.
 
duuuuhhhhh.......maana mpaka kuna Azam milk siku izi!!!...hajaona fulsa.:A S wink::A S wink:
 
Nimechukizwa sana na hiyo habari yako wewe Kabwela:angry::angry::angry::angry:
 
Coming soon ..........
Tupo kwenye ufungaji wa mitambo
azam-lager.png
 
kuwa form IV leaver with a division V nia janga. watu wanaongelea azam we unaleta ipp. taja makampuni yote basi upate raha.
Ungetafakari vizuri ungemwelewa mantiki yake! Point yake sio irrelevant kihivyo!
 
Ungetafakari vizuri ungemwelewa mantiki yake! Point yake sio irrelevant kihivyo!
mantiki yake imeshaeleweka na ndo maana ni irrelevant. ndo tuseme ni bakhresa (azam) vs mengi (ipp)? hahahaha.... angem-compare na mo dewj, ndo wana bidhaa zinazofanana: mo- soda, juice, maji, unga, blah blah blah... hiyo ndo mantiki yake.
 
kwel wewe kikosi kazi hivi kwa bei hizo c tutaokota maiti nyingi sana bar

Duh kwa bei hizi...Azam Lager = 700/=, Azam Lite = 300 & Azam Kiroba = 100/=

...Yaani buku tano unapata Azam Lager = 7 na chenji inarudi...ya kukuwezesha kupata Azam Kiroba kimoja!
 
Na mimi nalewa saa hizi sihitaji hizo Man kind opium. wacha nijilie lager zangu kwa raha zangu.

We si useme ukweli tu!
Unywaji wa kimpumu sio aibu mkuu.
Sasa hio gongo unayokunywa ikifika glass ya nne inageuka Lager?

Dah!
Naona ya leo haijatiwa maji.
 
Jamani leo mapemaa kwenye saa 4 hivi asubuh kabwela mwenzenu baada ya kunywa supu nimeamua nianze mapemaa mambo yetu yale kwa kutoa lock kwa KILIMANJARO bariidi...

sasa ndo nikaanza kuwaza kikabwela hivi huyu ndugu yetu bahresa mbona kashawahudumia makundi mengine ya jamii kwa bidhaa zake sasa inakuaje kwa sisi watumia kilaji? au tumemkosea nini?
jaman kama kuna mtu huku jf amfikishie taarifa kuwa katusahau eti! basi angalau atuletee AZAM LAGER, AZAM LIGHT au hata ikiwezekana AZAM KIROBA. jaman yangu ni hayo tuu.

Waiterrr.... KILAMANJARO baridi hapa usisahau bili yangu tafadhal.

Jioni nitaanza bili nyingine.

Mkuu Nicholas uko nae hapo?
Manake huyu jamaa na taptap km vile wale kumbikumbi wakati wa masika.
Lzm wawe wawili wawili.

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom