Yako kali sanaaaaaaa!
Kwa kuokoa nafasi ipo nyengine ya bahili:
Jamaa aliingia chooni kumwaga vitu. Wakati ananyanyuka kuvaa suruali, senti hamsini ikadondoka kwenye kinyesi.
Pesa anaitaka lakini kutia mkono kwenye shonde noma. Alitafakari kwa nusu saa vipi ataiopoa sumni yake.
Baadaye akapata wazo. Akatoa shilingi moja akaidondosha kwenye shonde huku anajisemea:
"Sasa inalipa kutia mkono humu kwani nitakuwa nimeokoa shilingi moja na sumni".