Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,944
- 132,448
Mkuu Kidole, the fact kuwa bahati imekuwa ikisemwa toka ancient time, hakuifanyi bahati ndio iwepo, kwa sababu toka hiyo ancient haikuwahi kuwepo, ila inadhaniwa tuu, lakini hakuna kitu kama hicho!.Pasco
Kupinga kwamba hakuna kitu kinachoitwa bahati rather kuna power within us ni kututoa kwenye mistari
Luck has been there since ancient time and wise men and thinkers wamejaribu kutaka jua nini hasa kinampelekea mtu kuwa mwenye bahati
Let me quote a proverb
" if a man be lucky, there is no foretelling the possible extent of his good fortune. Pitch him into the Euphrates and as not he will swim out with a pearl in his hand"
Hata hapa kwetu neno bahati has been widely used
Kuna michezo ya bahati nasibu nk
Unakuta watu 1000 wana shindanishwa and randomly mtu mmoja ana shinda
How can u say that is a power of will or power within us?
Hapo ni kitu kinachoitwa "enlightenment" wale wengine wote hawakuwa enlighten kuiona hiyo hela!.Posco nisaidie hapa. Nimedondosha tshs 10000/=, wakapita watu ishirini hawakuiona na kuiokota. Akapita wa 22 akaiona na kuiokota. Swali: hawa 20 wana nini wasiiokote? Huyo wa 22 ana nini mpaka akaiokota?
Bahati ipo ila kwa % kubwa unaicreat mwenyewe. Iwe mbaya au nzuri.
Maswali yatakuja
The most powerful thing you have is your "willpower!" just will what you want, with strong determination, you'll get it!.nakubakiana na wew bahati ipo
jinsi gani sasa unaweza I create?
Mkuu Kidole, the fact kuwa bahati imekuwa ikisemwa toka ancient time, hakuifanyi bahati ndio iwepo, kwa sababu toka hiyo ancient haikuwahi kuwepo, ila inadhaniwa tuu, lakini hakuna kitu kama hicho!.
The same applied kwenye maneno kama "nakupenda kwa dhati, from the bottom of my heart", nakuwaza kimono moyo, au nasema kimono moyo, au nasal kimoyo moyo, pendo la moyoni, nimekuwa moyoni, moyo wangu umekudongokea, nasema ukweli toka moyoni etc, kazi ya moyo ni moja tuu, to pump the blood for circulation!, nothing moyo, nothing less!, hayo yote yanayosemwa kuhusu moyo ni uongo mtupu na hakuna kitu kama hicho!.
Kitu kinachoitwa lucky its actually ni "works of powers", mnapokata bahati nasibu, with powers kwa kujijua au kutojijua, powers za yule mshindi, ndie ame will, ile number ya ushindi idondokee kwake, na kushinda!.
Kwenye michezo ya kolo kolo, kwa kutumia powers of mind, unaweza kuifanya dice idondokee number unayoitaka wewe!. Mchezeshaji akikushtukia tuu mara 3 mfufululizo, atasimamisha mchezo na kukuomba uondoke, vinginevyo utamfilisi!.
Hakuna good lucky wall bad lucky, kuna goodwill na bad will ambayo inaitwa goodlucky na badluck!.
Pasco
Mkuu long live, asante kwa hii, hili nimelizungumzia sana kwenye hizi mada zangu zifuatazo.Yaap. Tumekuelewa. Lkn siku zote nimekuwa nikielewa bahati ni imani inayopaliliwa na matendo mema na kujituma. Ni kweli kwamba baadhi ya watu wamezaliwa na bahati lkn wameshindwa kuzipalilia. kwa nini nasema bahati ni imani? Kitu ambacho mungu ametujalia kikubwa ni imani, ukiwa na imani unaweza kufanya mambo makubwa. Mfano kwa imani tu unaweza ukambariki mtoto aliye tumboni mwa mama kwa kuamini na kusema mtoto huyu atakua na akili sana ,au atakua jambazi. Maandiko matakatifu yanasema mungu alimuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake, pamoja na kwamba hatuko exactly kama mungu lkn tuna tuelements tuchache twa nguvu za kimungu. Mungu aliumba kwa maneno,even us we have such elements. Ukiamini mwakani mwezi wa saba utanunua gari na akafanya jitihada utafanikiwa na watu watasema unabahati kumbe maskini imani yako itakuwa imekuponya.
Kidole, call it what you may, ninachokueleza hapa its is works of powers!, hicho kinachoitwa good luck ni powers of positivity from ndani yako ndizo zinazofanya mambo, na wall sio huyo aliyekuwish!.Pasco
The need to have a good luck is universal
Ndo mana utasikia mtu akitaka kwenda kufanya interview ana wiahiwa good luck
Akitaka kwenda safiri anawashia good luck
Akitaka anzisha biashara anawishiwa good luck
And etc
Unapoongelea will power its a desire to acquire something
For dice game or kolokolo playas wote they desire to win
Ndio bahati inapoingia hapo na kumzawadia mmoja ushindi
Hakuna powers of mind hapo its purely luck
ask some one who gembles Mara ngap ame win na Mara ngap ameloose
Definitely utakuja na jibu kuwa ame loose Mara nyingi kuliko alizo wahi win
Sasa if he has used his mind once kwann hyo asitumie hyo power Ku win daily ??
Its clear u can't deny the works of luck
Kidole, call it what you may, ninachokueleza hapa its is works of powers!, hicho kinachoitwa good luck ni powers of positivity from ndani yako ndizo zinazofanya mambo, na wall sio huyo aliyekuwish!.
Pasco.
Willpower kwa Kiswahili ni "nia ya dhati!" "nuizia!".pasco ivi kuna neno la kiswahili la willpower?
Kama nilivyosema tangu mwanzo, hakuna cha good luck wall bad luck, chochote kinachotokea ni pre meditated move kilikuwa ndio kitokee hivyo kinavyotokea.Pasco hujanielewa au hutaki nielewa kwa makusudi
sijasema anaye ni wish ndio ata influence au kuniletea bahati
bali inaashiria uwepo wa bahati
toking About willpower most motivators and inspirational speakers wamejaribu shawishi watu
for years kwamba if u want something so bad u'll get it eventually kitu ambacho sio kweli
Pasco no matter the power of will aliyo nayo MTU
hawezi desire kutembea na kuokota dhahabu barabarini
but with luck unaweza amka ukakuta bag of gold outside your door step
Mkuu Tiasa, hakuna kitu kama hicho, hiyo yote ni "works of powers" bila wewe kujijua!,possibility inapokuwa ndogo kinachofata hapo ni bahati tu
kwamfano ni kama bahati tu unapochelewa airpot unakuta nayo flight imechelewa hivyo unaingia. Au ni kama bahati tu kuokota dola 100 asubuhi ..
Katika rundom selection ambapo wengi mnakuwa na equal chance bahati inaweza ikakuangukia
The most powerful thing you have is your "willpower!" just will what you want, with strong determination, you'll get it!.
Pasco.
Mkuu Uhuru, kwanza pole kwa kutonielewa!, twende taratibu mdogo mdogo tuu hatimaye utanielewa!. Ila ni mpaka ukiendelea kinisoma soma humu, na wewe utakuja kufikia level fulani ya uelewa, then utaanza kunielewa!.Mbona sijakuelewa naona kama unakubali na kukataa kitu hichohicho.
pasco kuna kitu ulikiongea juzi
swala la love compatibility
nahitaji mchanganuo kidogo katika hilo
Love compatibility kwa lugha rahisi ni "mwendano", yaani una m date mtu mnayeendana, hivyo mtafanikiwa sana!. Huu mwendano kwa kawaida unakuja naturally tuu kwa mtu uliyepangiwa au mnae endana. Kipimo rahisi ni kuisikiliza sauti ndogo toka ndani ya moyo wako kwa kila mtu atakayekutokea, akiwa siye, utasikia tuu, utajikuta kila mkipanga kumaliziana linatokea jambo kuzuia.
Kipimo rahisi ni kuangalia mood yako baada ya kukaa naye kwenye ordinary date, utajisikia un easy fulani, ila nyie dada zetu wengi mnadanganyika na "fungu", kama jamaa "ana kisu kikali" then ile methali ya "mwenye kisu kikali ndie atakula nyama". Kwenye mambo ya compatibility wasiojali ndio wale unakuta tangu uhusuasiano ni majanga na wakiona ni majanga hadi sometimes kupelekea mmoja wao kuchomoka!.
Unaweza kufanya compatibility test for fun, mfano kama unaishi na wazazi, after date hata kama hukuchelewa kivile, home mota utakuwakia!, na kila mkikutana linafuatia janga fulani, ukiona hivyo hata kama ni bilionea, you just let it go!.
Kwa wenzetu wametengeneza compatibility charts kwenye nyota yako, yaani Zodiac sign yako.
Zodiac signs ni nyota kumi na mbili za miezi watu walio zaliwa ambaza zimegawanywa kwenye makundi maane ya fire sign, water signs, earth signs na wind signs. Mfano wewe umezaliwa February nyota yako ni samaki pieces, hii water sign na mko kundi moja na scorpio na cancer, mtakuwa compatible na earth signs ikitokea woter na fire mta clash!.
Pasco
Na hapa ndipo nyinyi dada zetu wengi you go wrong, ukisikiliza moyo wako, you'll never go wrong, ni kusudi la Mungu binadamu afanikiwe huku shetani akifanya bidii kumdidimiza, akiwa ndie ukimkaribia tuu, moyo utakuambia!. Tatizo la wadada wengi ni ama tamaa ya vitu, hivyo kufuata mlio wa pesa na kuishia kulia, au anticipation ya ndoa, hivyo kugawa, kumegwa na kuishia kuachwa!.nimekuelewa vyema nahisi my bro na wifi yangu wameendana kwani kwa muda mfupi sana kafika mbali na walivyokutana kaka angu alikua amepanga chumba kimoja lakini as i speak aiseee yupo mbali saana yaani mpaka mahali anapokaa wanamshawish agombee hata ubunge
5years ago alikua anapanda daladala now mpaka kwake kakosa packin magari mengine katuachia
hii kitu kuna siku niliiileta hapa nikaelezea mpaka kwenye nyota binafsi nina uwezo wa kumtambua mtu mahusiano yakiwa awali kabisa na huwa nacheki minor things kuanzia colour hadi chakula avipendavyo kama tunakinzana kwa mengi Kengele hulia kichwani
Na hapa ndipo nyinyi dada zetu wengi you go wrong, ukisikiliza moyo wako, you'll never go wrong, ni kusudi la Mungu binadamu afanikiwe huku shetani akifanya bidii kumdidimiza, akiwa ndie ukimkaribia tuu, moyo utakuambia!. Tatizo la wadada wengi ni ama tamaa ya vitu, hivyo kufuata mlio wa pesa na kuishia kulia, au anticipation ya ndoa, hivyo kugawa, kumegwa na kuishia kuachwa!.
Kikukweli kabisa hata sisi wanaume, ukikutana na miss right, utajisikia raha tuu kuwa nae sii lazima ku do!. jJust being together tells you kama picha zinaenda.
Mimi ni wale Waafirika Halisi chapa ng'ombe, kufurahi ruksa!, kipimo changu cha majanga katika zile furaha hizi na zile kufanya majaribio ya kufurahi only 3 tries, zikipita bila bila!, ndio basi tena!, hata awe mzuri kama malaika!. Ukikuta mnaendana sometimes you don't even have to beg or ask, mambo yenyewe yanajiset tuu!. Kama ni majanga, utanote vikwazo kila mkipanga, mara mkute rooms zimejaa!, siku room zipo mmeingia mnatafuta zana, huwezi amini kila duka zimeisha!, sasa mnapania kweli kweli, unanunua kabisa zile super, mwenyewe yuko fit kabisa, tena mahali pa maana, mtakula dinner nzuri, na kuelekea... mara ghafla mwenzako anakujulisha "zimeanza ghafla!", three attempts ndio kipimo changu cha majanga, hapo usikuta wala sijahesabu puncture, au deals za fedha zilizo yeyuka!. Kiukweli binadamu huwa tunaonywa sana kabla ya majanga ila huwa tunalazimisha!. Hata ikitokea safari, moyo ukisita huwa siendi!, ndipo baadaye nasikia taarifa za kilichotokea!.
Nakuonea raha Masai Dada, nita ku pm kwa mengineyo!.
JF ni zaidi ya keyboard, sometimes hata kusaidiana kupo!, unaonekana una ... sana!.
Pasco.
Mkuu Uhuru, kwanza pole kwa kutonielewa!, twende taratibu mdogo mdogo tuu hatimaye utanielewa!. Ila ni mpaka ukiendelea kinisoma soma humu, na wewe utakuja kufikia level fulani ya uelewa, then utaanza kunielewa!.
Pasco.
Mkuu Uhuru, pole tena, ila uelewa una levels fulani za uwezo wa mtu kuelewa ndio maana kuna chekechea, darasa la kwanza hadi la 7. Mwanzo nilijibu as if jf ni home to the great thinkers, ambao kazi ya mwalimu ni kuwakatia tuu pande, wanapika wenyewe, wanapakua wenyewe, wanakula wenyewe, wanatafuna wenyewe, mwisho wana meza wenyewe!.Mkuu hata nikirudia kusoma mara mia hakuna kitakachobadilika,labda niamini uliyoyasema lakini si kuelewa.