Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

Rawasen

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
182
Reaction score
74
Huu Wimbo Nimeusikia Muda Si Mrefu Jinsi Anavomsifia Lowasa Lakini Sijajua Nianze Kusema Nini
Ni Lowasa Anamjua Sana Mungu

Maana Nimesikia Akisema Lowasa Atatawala Kwa Amani, Lowasa Amepakwa Mafuta, Lowasa Yupo Kama Mfalme Suleimani
Udini Au Ni Njaa Tu Au Ndo Viti Maalumu

Utafuteni Muusikilize


 
Mimi namalizia mchoro wa picha ya Lowassa akiwa anaaapishwa (just an imagination) nakuhakikishia ntapiga milioni 15 kwny hii.

Mwaka wa kuvuna mapesa huu wakuu
"Kula CCM, Kura UKAWA!"
 
Mkuu wimbo gani kamuibia au ulitaka kusema kamuimbia?
 
anatafuta kiti maalum Hii ndo Tz ukiimba unapata kiti maalum
 
Ndo mana manabii wa uhongo wanaishia kuwapa mimba na kuvunja ndoa zao.....Lowasa hana tofauti na yule aliyemuimba kwenye wimbo
wa mfalme wa Aman sasa anatuimbia nini hapa....Pengne kakosea kuandika badala ya ku Un-like yeye ka-like!!!Natabiri Bahati B-kajiua kimziki.
 
Mimi namalizia mchoro wa picha ya Lowassa akiwa anaaapishwa (just an imagination) nakuhakikishia ntapiga milioni 15 kwny hii.

Mwaka wa kuvuna mapesa huu wakuu
"Kula CCM, Kura UKAWA!"

Hahaha
Kula-ccm
Kura-UKAWA
 
Hadi wanaapolo wana rap mashairi ya kumfagilia Lowassa ... Huyu ndo Rais atakae ondoa ombwe la Uongozi katika nchi hii...
 
Wasanii TZ ni janga, utasikia Diamond na CCM, shame on wasanii wote maana wangekatazana njaaa za kijingaaaa
 
Huyo Dada ni njaa tu inamsumbua mwaka Jana kwenye uzinduzi wa albamu ya Bahati Bukuku pale TPA, lowassa alikuwa mgeni rasmi alimpa mil 25 ndiyo hizo zimemchanganya saiv anampambapamba Huyo low hasa wake.. kweli njaa mwanaharamu
 
Kwanza noti inatafutwa, pili kujiweka karibu (nafasi moja kati ya kumi za ubunge za Rais), tatu debe tupu alikosi ukoko.

Huyu kama msanii wa nyimbo (siyo za kumtukuza Mungu) mipasho na kudai usawa huwa aimbi kumsifu Mungu bali anaimba kusaka shekels, so tusishangae sana wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…