Bahari yameza watu?

Wachina nao ni janga la kidunia! Mwaka 1979, sisi wengine hata wazazi wetu hawajakutana na kufanya manjonjo, wachina tayari kama viwavi walishatapakaa duniani na wanafanya uvuvi haramu!!!
Jambo lingine....hivi hawa wenzetu wana mioyo ya aina gani kujali maisha ya ndugu zao hivyo?!......ndege hamsini, helicopters na boti zinatumika kuwatafuta watu watano na boat..😵....halafu nyie tarafa kadhaa zimekumbwa na tetemeko la ardhi na kusababisha hasara kibao mnaenda huko kuwakebehi raia na kutoa shombo kuwa hamkuahidi matetemeko kwenye kampeni zenu!!! Wagagagigikoko mna laana walahi.
 
Dah mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lovely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…