Bagamoyo road kuna foleni balaa

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,610
Kuanzia Lugalo, Mwenge hadi Mawasiliano kuna foleni balaa.

Kama una gari usipite kabisa huku.

Novemba 20, 2025 - 5:40pm update
 
Angalia vizuri kuna msafara wa kiongozi utapita hapo.
 
Natokea posta kupitia Tanzanite bridge napo hali tete
Kuna foleni kuanzia ocean road mpaka coco beach
 
Tunafanya uchunguzi wa chanzo cha uvunjifu wa amani, vumilieni
 
Au mama Dullah anakimbia nchi kupitia Bagamoyo?
 
Kutoka Sayansi had mliman city kuja njia Makongo juu-Goba nimetumia masaa 2+ hiv. Dah
Toka saa 11 na robo jion had saa moja na nusu hiv.
 
Piga kiberiti magari yote uone foleni itakavyo isha.
 
Kuanzia Lugalo, Mwenge hadi Mawasiliano kuna foleni balaa.

Kama una gari usipite kabisa huku.

Novemba 20, 2025 - 5:40pm update
Ni kote Mimi mpaka nimeamua kupaki kimkebe changu na kulala hapa manzese midizini nikiwa pekeyangu lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…