Bagamoyo Port: Serikali imewapa hisa zote wawekezaji wa Kichina

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,022
Makubaliano ilikuwa ni serikali kufidia wote waliopoteza ardhi ili kupisha mradi.

Kwa kugharimia zoezi hilo Tanzania tungepatiwa kiasi fulani cha hisa ktk Bandari hiyo ambayo itakuwa kubwa kuliko zote Afrika Mashariki.

Sasa serikali imeshindwa kufanya hivyo na kupelekea kuukabidhi mradi mzima kwa wawekezaji.

SOURCE:
Dar surrenders Bagamoyo port project to Chinese

Tanzania surrenders Bagamoyo port project to Chinese firm

  • Under a three-way partnership signed with Oman and China in 2013, Tanzania was to get an undisclosed shareholding in the project by dint of raising $28 million for compensating landowners who were to be displaced.

  • The Bagamoyo project framework agreement was signed on March 24, 2013 to enhance competition along the EastAfrican coast and supplement the Tanzanian ports of Dar es Salaam and Mtwara.

  • The Bagamoyo port and its affiliate industrial zone is meant to address congestion at the old port and support Tanzania to become East Africa’s leading shipping and logistics centre. The port is located about 75 kilometres from Dar es Salaam and 10 kilometres from Bagamoyo town.

Financial constraints have forced Tanzania to miss out on ownership of the $10 billion Bagamoyo Port and Special Economic Zone project.

Under a three-way partnership signed with Oman and China in 2013, Tanzania was to get an undisclosed shareholding in the project by dint of raising $28 million for compensating landowners who were to be displaced.

But the government managed to raise only $1.5 million and compensated a few of the 2,180 registered residents of the area earmarked for the project. There are other owners of large tracts who do not reside in the area and are yet to be registered for the compensation.

With investors anxious of losing the business opportunities envisaged from the project, the government is now negotiating with the investment partners for them to fund the compensation of land owners. In turn, the government will forego an equity stake in the project and only benefit from taxes on the land and occupancy by the investors.

Minister for Industries and Trade Charles Mwijage told The EastAfrican that the discussions with investment partners also revolve around the legal framework to ensure there would be no conflict between them and the Bagamoyo community.

China Merchants Holdings International (CMHI), a port management firm, is understood to be ready to raise money for the compensation. CMHI managing director Hu Jianhua said in a statement two weeks ago that the company would run Bagamoyo as one of its overseas ports.

“We had not abandoned this project. We were waiting to compensate the people whose land was taken for development of various business programmes,” he said.

CMHI said in its report that the Bagamoyo SEZ is part of its global investments. In Africa, the Chinese company has invested in Kenya, Ethiopia, Togo, Nigeria and Djibouti.

READ: AfDB gives Tanzania $1.1 billion for railway, Bagamoyo port

The Bagamoyo project framework agreement was signed on March 24, 2013 to enhance competition along the EastAfrican coast and supplement the Tanzanian ports of Dar es Salaam and Mtwara.

Retired President Jakaya Kikwete touted the project during his term, vowing to construct Tanzania’s biggest port at the former slave harbour with funding from Oman and China.
However, when President John Magufuli came to office in 2015, the project took a backseat as the government prioritised improvements of Dar es Salaam, Mtwara and Tanga ports.

The Bagamoyo port and its affiliate industrial zone is meant to address congestion at the old port and support Tanzania to become East Africa’s leading shipping and logistics centre. The port is located about 75 kilometres from Dar es Salaam and 10 kilometres from Bagamoyo town.

Some 190 industries have been marked for development within the SEZ. When fully developed, the Bagamoyo SEZ will attract about 700 industries to become a strategic investment zone in East Africa.

CMHI said among the projects envisaged in the Zone are industrial parks worth $120 million, a $70 million tourism Park, free port facilities ($ 90 million), free trade zone ($70 million), Science and Technology parks ($ 50 million), International business centre ($70 million) and industrial sheds costing $20 million.

cc Kimweri, Geza Ulole, Nguruvi3, Eric Cartman, salaama, Richard, Tokyo40, MTAZAMO, Pascal Mayalla, Eric Cartman, Jay One
 
Tunalinda rasilimali zetu...anaowasema wanawashwawashwa walikua na mipango mizuri. Angejaribu kuwaomba ushauri, akapima na kuamua kwa kuwa yeye yuko vizuri kwenye kusimamia mambo yangeenda vizuri. Tatizo ni kwamba hashauriki.

..

With investors anxious of losing the business opportunities envisaged from the project, the government is now negotiating with the investment partners for them to fund the compensation of land owners. In turn, the government will forego an equity stake in the project and only benefit from taxes on the land and occupancy by the investors.
 
..

With investors anxious of losing the business opportunities envisaged from the project, the government is now negotiating with the investment partners for them to fund the compensation of land owners. In turn, the government will forego an equity stake in the project and only benefit from taxes on the land and occupancy by the investors.
Nakulilia Tanzania .

Hapo baadae atakuja mwingine kusema mbona tunapunjwa hatupati chochote kwenye huu uwekezaji. Kwa nini hatuweki mambo sawa toka mwanzo? Au rasirimali ni madini peke yake?
 
Makubaliano ilikuwa ni serikali kufidia wote waliopoteza ardhi ili kupisha mradi.

Kwa kugharimia zoezi hilo Tanzania tungepatiwa kiasi fulani cha hisa ktk Bandari hiyo ambayo itakuwa kubwa kuliko zote Afrika Mashariki.

Sasa serikali imeshindwa kufanya hivyo na kupelekea kuukabidhi mradi mzima kwa wawekezaji.

SOURCE:
Dar surrenders Bagamoyo port project to Chinese

Tanzania surrenders Bagamoyo port project to Chinese firm

  • Under a three-way partnership signed with Oman and China in 2013, Tanzania was to get an undisclosed shareholding in the project by dint of raising $28 million for compensating landowners who were to be displaced.

  • The Bagamoyo project framework agreement was signed on March 24, 2013 to enhance competition along the EastAfrican coast and supplement the Tanzanian ports of Dar es Salaam and Mtwara.

  • The Bagamoyo port and its affiliate industrial zone is meant to address congestion at the old port and support Tanzania to become East Africa’s leading shipping and logistics centre. The port is located about 75 kilometres from Dar es Salaam and 10 kilometres from Bagamoyo town.

Financial constraints have forced Tanzania to miss out on ownership of the $10 billion Bagamoyo Port and Special Economic Zone project.

Under a three-way partnership signed with Oman and China in 2013, Tanzania was to get an undisclosed shareholding in the project by dint of raising $28 million for compensating landowners who were to be displaced.

But the government managed to raise only $1.5 million and compensated a few of the 2,180 registered residents of the area earmarked for the project. There are other owners of large tracts who do not reside in the area and are yet to be registered for the compensation.

With investors anxious of losing the business opportunities envisaged from the project, the government is now negotiating with the investment partners for them to fund the compensation of land owners. In turn, the government will forego an equity stake in the project and only benefit from taxes on the land and occupancy by the investors.

Minister for Industries and Trade Charles Mwijage told The EastAfrican that the discussions with investment partners also revolve around the legal framework to ensure there would be no conflict between them and the Bagamoyo community.

China Merchants Holdings International (CMHI), a port management firm, is understood to be ready to raise money for the compensation. CMHI managing director Hu Jianhua said in a statement two weeks ago that the company would run Bagamoyo as one of its overseas ports.

“We had not abandoned this project. We were waiting to compensate the people whose land was taken for development of various business programmes,” he said.

CMHI said in its report that the Bagamoyo SEZ is part of its global investments. In Africa, the Chinese company has invested in Kenya, Ethiopia, Togo, Nigeria and Djibouti.

READ: AfDB gives Tanzania $1.1 billion for railway, Bagamoyo port

The Bagamoyo project framework agreement was signed on March 24, 2013 to enhance competition along the EastAfrican coast and supplement the Tanzanian ports of Dar es Salaam and Mtwara.

Retired President Jakaya Kikwete touted the project during his term, vowing to construct Tanzania’s biggest port at the former slave harbour with funding from Oman and China.
However, when President John Magufuli came to office in 2015, the project took a backseat as the government prioritised improvements of Dar es Salaam, Mtwara and Tanga ports.

The Bagamoyo port and its affiliate industrial zone is meant to address congestion at the old port and support Tanzania to become East Africa’s leading shipping and logistics centre. The port is located about 75 kilometres from Dar es Salaam and 10 kilometres from Bagamoyo town.

Some 190 industries have been marked for development within the SEZ. When fully developed, the Bagamoyo SEZ will attract about 700 industries to become a strategic investment zone in East Africa.

CMHI said among the projects envisaged in the Zone are industrial parks worth $120 million, a $70 million tourism Park, free port facilities ($ 90 million), free trade zone ($70 million), Science and Technology parks ($ 50 million), International business centre ($70 million) and industrial sheds costing $20 million.

cc Kimweri, Geza Ulole, Nguruvi3, Eric Cartman, salaama, Richard, Tokyo40, MTAZAMO, Pascal Mayalla
 
Mmesoma mkataba wa Hiyo Bandari ya Bagamoyo au mnapayuka tu hapa kama machizi?

kuna vipengele vya huo mkataba ni vya hovyo kabisa....

kimoja kinasema kuwa..." Bandari ya Dar. haitaendelezwa wala kuboreshwa wakati Bandari ya Bagamoyo ikiwa inaoperate"...

sasa vipengele kama hivo mnajua maana yake ni nini? msiwe mnapayuka kwa msiyoyajua, JK. alibakiza kutuuza tu sisi, na ni kwa vile soko letu halikuwepo.
 
Kama ni kweli namuunga mkono Magu pamoja ya kwamba sina KAZI............
 
Hisa lazima tupate maana bahari na ardhi ni vyetu, wakigoma kutoa tunaendelea na bandari tatu tulizonazo. Wao wakafungue bandari South Sudan kama wanadhani bandari inapatikana kirahisi hivyo.
 
Mmesoma mkataba wa Hiyo Bandari ya Bagamoyo au mnapayuka tu hapa kama machizi?

kuna vipengele vya huo mkataba ni vya hovyo kabisa....

kimoja kinasema kuwa..." Bandari ya Dar. haitaendelezwa wala kuboreshwa wakati Bandari ya Bagamoyo ikiwa inaoperate"...

sasa vipengele kama hivo mnajua maana yake ni nini? msiwe mnapayuka kwa msiyoyajua, JK. alibakiza kutuuza tu sisi, na ni kwa vile soko letu halikuwepo.
1. Ungetuonesha hiko kipengele sio maneno tupu.

2.Nilichoona hapo ni kwamba serikali ina vipaumbele vyake, ndio maana haijakamilisha malipo ya fidia kwa wanaohamishwa. Imeamua kuacha share zake nakuiachia mwekezaji ailipe fidia kwa makubaliano yao. Ni kama tu kutoongeza mishahara ili pesa iende kwenue vipaumbele vya serikali

3. Kukarabati bandari za Dar na Mtwara ipo kwenye ilani ya Chama. Usitudanganye Mzee

Serikali wakati inaingia mkataba iliona inaweza kuwalipa fidia hao wananchi. Ukweli ni kwamba pesa tunayokusanya inabidi iende kwenye vipaumbele, usidhani yeye anapenda kutopandisha mishahara, mambo kidogo yako sio sawa kipindi hiki cha mpito. Mwijage hapo si umemsikia? Hajasema mkataba hawaendelei nao ila wanaingia makubaliano mengine.
 
Mmesoma mkataba wa Hiyo Bandari ya Bagamoyo au mnapayuka tu hapa kama machizi?

kuna vipengele vya huo mkataba ni vya hovyo kabisa....

kimoja kinasema kuwa..." Bandari ya Dar. haitaendelezwa wala kuboreshwa wakati Bandari ya Bagamoyo ikiwa inaoperate"...

sasa vipengele kama hivo mnajua maana yake ni nini? msiwe mnapayuka kwa msiyoyajua, JK. alibakiza kutuuza tu sisi, na ni kwa vile soko letu halikuwepo.

..basi tulitakiwa turekebishe mkataba ile tuwe na hisa nyingi zinazotuwezesha kuwa na sauti ktk mradi mzima.

..taarifa inasema kwamba tumeruhusu mradi uendelee na hisa zote tumewaachia wawekezaji.

..kama taarifa za gazeti ni za kweli basi uwezekano mkubwa ni kuwa makubaliano aliyoingia JPM kuhusu bandari ya Bagamoyo yanakwenda kutuumiza kuliko yale ya JK.

Cc Ndahani
 
Mmesoma mkataba wa Hiyo Bandari ya Bagamoyo au mnapayuka tu hapa kama machizi?

kuna vipengele vya huo mkataba ni vya hovyo kabisa....

kimoja kinasema kuwa..." Bandari ya Dar. haitaendelezwa wala kuboreshwa wakati Bandari ya Bagamoyo ikiwa inaoperate"...

sasa vipengele kama hivo mnajua maana yake ni nini? msiwe mnapayuka kwa msiyoyajua, JK. alibakiza kutuuza tu sisi, na ni kwa vile soko letu halikuwepo.
Uo mkataba umeuona au na wewe unashadadia tu. Naomba ulete uo mkataba tuuone na sisi.
 
Huo mradi ungesaidia kuhamisha technology toka china kuja bongoland,na ungekuwa ndo mwanzo wa tanzania ya viwanda kwelikweli,
kumbuka hata mchina alikuwa nyuma mno,ila alipokaribisha viwanda vya magharibi ndo ukawa mwanzo wa china kubadilika na kuwa china ya viwanda.

Hiyo bandari ingefanya hata wafabiashara wa congo,uganda,rwanda,kenya waje kununua mzigo bagamoyo badala ya kufuata china ama dubey.
 
Back
Top Bottom