Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Jeshi la polisi mkoa wa Pwani wilayani Bagamoyo imelipotiwa jana kwamba limefanya mauaji ya watu wawili na kujeruhi mmoja kutoka katika jamii ya kimasai wanaoishi wilayani Bagamoyo.
Jeshi hilo lilitumia risasi za moto kuwashambulia wafugaji na inasemekana imekuwa utaratibu wa jeshi kutumia nguvu kubwa mara kwa mara dhidi ya wafugaji hao!
DC wa Bagamoyo alikana kuhusika na agizo hili kwa Polisi kutekeleza mauaji hayo.
Ni nani anawatuma Polisi kufanya maua kwa raia hawa wasio na hatia?