Bagamoyo ni Yamoussoukro ya Tanzania

Bagamoyo ni Yamoussoukro ya Tanzania

wabongo kwa maneno utatutaka na kwa kua serikali nayo imekaa kimipasho kila kitu mipasho duh.
 
Nimetembelea Bagamoyo siku za karibuni kwenda kule Halmashauri ya Wilaya. Mbona hamna kitu ni mji tu uliochakaa?
Mkuu fungua macho na akili uone,kwanza kuna mradi mkubwa wa bandari Bagamoyo Africa hakuna,ile gesi ya Mtwara ililengwa Bagamoyo kwa ajili kuendeleza miradi mikubwa ilikusudiwa,hili ccm wanalijua ila kwa sababu kila mtu ruksa kula jinsi mkono ulivyomrefu hakuna wakuhoji ndio maana sera yao ya VUA GAMBA ulikuwa upepo tu
 
Kila kitu Bagamoyo kwanini isipelekwe Ziwa Victoria,Tanganyika...........

20096260281871639.jpg
 
Bandari ya Bagamoyo ndiyo itaanza kujengwa au ni ile ya Tanga (ya Museveni)?
 
Watu naona mnafukua makaburi tu saiv..

Utandawazi noma sana
 
Back
Top Bottom