Bagamoyo and Mtwara/Lindi major Port constraction project LINI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bagamoyo and Mtwara/Lindi major Port constraction project LINI?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hute, Mar 17, 2012.

 1. H

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,038
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  JAMANI, WATZ TUNAPIA TU MIAYO...wenzetu wa kenya wanatupiga bao hivihivi kwa kujenga bandari moja matata sana kule Lamu, wanajenga barabara nzuri, wamejenga ma bypass na ma flyover kibao ya kutisha....na kutengeneza vivutio zaidi vya uwekezaji nchini kwao...sisi tunafanya nin jamani?....nilishawahi kusikia kuna mradi mkubwa sana wa bandari pale Bagamoyo, bandari kubwaaaa, pia kule Lindi kuna kina kirefu ambacho kama tukijenga bandari nzuri, na tukawa na barabara nzuri kuunganisha na dsm, Songea etc, tutakuwa na soko zuri kwa wamalawi, mozembique, Zambia hata Zimbabwe etc, na huku juu tukiwa juu kwenye bandari ya Bagamoyo na dar kuhudumia uganda, rwanda, burundi,zambia na congo. inavyoonekana sasa, kama ile ya Lamu itakuwa bora zaidi, basi hata congo, rwanda, burundi na zambia mizigo yao wanaweza kuanza kupitishia kenya kwasababu itakuwa ina offload mizigo faster than tz...viongozi wetu akili wameazimisha?.....natamani ningekuwa rais...
   
 2. H

  Hute JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,038
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  yap, asante kuihamishia huku.
   
 3. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mulie tu, mbona bandari tumeshajenga matumboni mwetu, au hamtuoni tulivyojazia? kama mngependa tuziamishie sehemu husika njoo mpasue haya matumbo.
   
 4. M

  MamG Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Viongozi wabovu ila mi naona na wananchi ndo wakulamiwa zaidi tumekubali kudamganywa.
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Constraction ??????
   
 6. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tumebarikiwa kuongea
   
 7. H

  Hute JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,038
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  ni construction....umeridhika? watu tuna kazi nyingi, unafikiri watu muda wote tunawaza kurekebisha spelling? pusiiii
   
 8. H

  Hute JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,038
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  yap, tumebarikiwa kuongea na kutoa mawazo, kuandika ma research etc...ila kuvitendea kazi ndo ndoto..vyote vinaishia kwenye maandishi/makablasha.
   
 9. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  sasa na nyie mkiendelea manake mtatupa shida yaani tuanze kuandika upya kamusi isiyo na maneno kama masikini, fukara, kihiyo, mzembe, mchumia tumbo,boya, *****, vihela, kuukuu,ukurutu, n.k
   
Loading...