Bae niongezee hela ninunue S9+

Hatima yake kwako OK!

Bado nafasi ipo you can act like gentleman kumpa somo kama hili uliloshusha humu akakuelewa na hatima yake ikaendelea kua ni sehemu salama ndugu yangu....
Hili zoezi sio rahisi kivile. Could be a full time job and i aint got that time.
 
Jiulize hiyo aliyokusanya so far kaitoa wapi? Hafai huyo. Ni wa kupiga na kutambaa tu, usiwekeze. Wanawake materialistic huwa hawatosheki. Akitokea tu mjanja anajua udhaifu wa huyo bae wake basi lazima amle. Unakuta binti net income haizidi 1m lakini anataka simu ya 2.5m na vikorokoro kibao. Ni headache. Kuwa na msimamo mwambie hutaki kama kulambwa akalambwe huko huko. Mimi nimeshawahi kupigwa mzinga wa "kumuongezea hela anunue gari" nikasepa.
 
You people
When we say wife material, they are not a finished product. Neither are we. There thing we all need to unlearn and learn.
Take trouble to mold your partner, take trouble to mold yourself and move forward.

Hakuna mtu aliyezaliwa kama mke au kama Mume bali kuna mchakato wa kuwa Mke au Mume.
Tusaidiane kufanyika Mke au Mume bora. Tusitegeme kumkuta mtu kama mkamilifu there and then.

Inawezekana huyu dada hana shida ila ni wa kusaidia tu kwenye kuweka vipaumbele au kumsaidia kuepuka maisha ya mashindano au ya kupenda vya juu kulingana na hali ya wakati huo. Kikubwa saidianeni ninyi kwa ninyi kuwa bora.

Otherwise kutumia kakigezo kimoja kumhukumu mtu ni sawa na kujilisha upepo.
We are very complicated beings.

Ni kweli, Umeona mbali sana.

Njia nyingine rahisi ya kumtambua aliye sahihi au si sahihi - Waweza kumpa kama laki tano, na kumwambia fanyia chochote. Then baada ya muda muulize ametumia vipi? Utashangaa anakwambia nilienda kusukia Brazilian hair hela yote!
 
Jiulize hiyo aliyokusanya so far kaitoa wapi? Hafai huyo. Ni wa kupiga na kutambaa tu, usiwekeze. Wanawake materialistic huwa hawatosheki. Akitokea tu mjanja anajua udhaifu wa huyo bae wake basi lazima amle. Unakuta binti net income haizidi 1m lakini anataka simu ya 2.5m na vikorokoro kibao. Ni headache. Kuwa na msimamo mwambie hutaki kama kulambwa akalambwe huko huko. Mimi nimeshawahi kupigwa mzinga wa "kumuongezea hela anunue gari" nikasepa.
Nishamweka mahali pake.
 
Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!

Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!

Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.

NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.
Hahahahhahahahaha..... Haya.... Tumekusikia RRONDO :):)
 
Ni kweli, Umeona mbali sana.

Njia nyingine rahisi ya kumtambua aliye sahihi au si sahihi - Waweza kumpa kama laki tano, na kumwambia fanyia chochote. Then baada ya muda muulize ametumia vipi? Utashangaa anakwambia nilienda kusukia Brazilian hair hela yote!
Sio ameenda kusuka tu, mwingine katoa mchango wa harusi, sijui anataka kutoka out na wenzake. Yaaan ni vitu vya ajabu ajabu.

Halaf mara nyingi hawana future, ukianza kumuadisia mipango ya maisha hataki kusikiliza, anataka asikilize tu habari za viwanja.

Pumbav kabisa, mm akishafel mtihani hapo hapo na kibuti juu
 
Inawezekana huyu dada hana shida ila ni wa kusaidia tu kwenye kuweka vipaumbele au kumsaidia kuepuka maisha ya mashindano au ya kupenda vya juu kulingana na hali ya wakati huo. Kikubwa saidianeni ninyi kwa ninyi kuwa bora.
I wish ingekuwa rahisi kama kuandika.
 
Kwa maelezo yako inaonekana ni mwanamke wa anasa. Muite pembeni, mpige darasa zito kuhusu matumizi yake, alaf uone reaction yake...
Lakin kwa haraharaka hawa ni wale wale wapenda pesa na anasa. Hawana future mara nyingi, ndio maana wastaafu wa hii fani yao ya kuomba omba wamejazana kwa makonda.
 
Mr detective, You have a point.
Kwa maelezo yako inaonekana ni mwanamke wa anasa. Muite pembeni, mpige darasa zito kuhusu matumizi yake, alaf uone reaction yake...
Lakin kwa haraharaka hawa ni wale wale wapenda pesa na anasa. Hawana future mara nyingi, ndio maana wastaafu wa hii fani yao ya kuomba omba wamejazana kwa makonda.
 
Kumbadili mtu sio kazi rahisi kama kuandika hapa. Kuna wanaopokea vizuri na wengine mnaishia kugombana. Vile vile sio kila mtu ana muda wa kumfundisha mtu mzima simple basics za life.
 
Back
Top Bottom