Bae niongezee hela ninunue S9+

Jana nilizungumzia kuwa roho mtaka mali katutawala na hatuna akili mtugonge mpk tuchanike sababu ni hatuna akili ukajitia kushangaa

Yamekukuta leo!!!

Endelea kumgonga halafu mdampo akili imsogee au mfundishe wewe unataka aweje
 
Mm nimemwambia shemej yako nataka kwenda Dubai kasemaa

Ooooh jiandae tu mwezi wa sita uendee kula bata maisha mafupi mama
 
Marhaba mtoto mzuri.
Ukiitwa kwenye hili zoezi pale junction ya Karume
Tafadhali utii wito, Jina lako liko kwa Mh. ''Manene''

Hahahahhahaa Tized..... kweli umenisahau.....

Sasa kwa makonda kwani mie nimetelekeza nani tena?
 
As namna hiyo wala hufumbi macho, wala hupepesi macho. Unamwambia wazi, hiyo pesa sina na hata ningekuwa nayo ina mambo mengi muhimu ya kufanya.

Mkuu, umekubali kuwa danga la mtu hivi hivi.
 
Mi nafikiri ulitakiwa kufirikia cha kufanya juu ya huyo mpenzi wako kwanza, achilia mbali hiyo 2.3 huko ni mbali sana mshenzi mkubwa huyo
 
I wish if I could be.... Kibanda changu chanika Labda kingesimama!!! Just kidding!!Ndyo akili za wadada wa Kileo!!
 
As namna hiyo wala hufumbi macho, wala hupepesi macho. Unamwambia wazi, hiyo pesa sina na hata ningekuwa nayo ina mambo mengi muhimu ya kufanya.

Mkuu, umekubali kuwa danga la mtu hivi hivi.
Ahhahaha kweli asee na kuna mengi amemfanyia ndio maana kapata ujasiri wa kumuomba
 
mi wangu kesha kalili kabisa,sitoi pesa kwa ajili ya starehe zake za kipuuzi...nkimpa hela huyo anaumwa au ana ishi ya msingi na anekalili kbs ishu hii hels napata ishu hii nanyimwa,yeye ana kazi mimi nina kazi..silei mwanamke km mtoto...najua atanisumbua nkija kumuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…