Bae niongezee hela ninunue S9+

Na papuchi utapata kwa hao wamama?
 
Hahahaha kweli kaka. Kuna ex wangu mmoja alikuwa materialistic nikashindwana naye. Yeye alikuwa anapenda sana kula starehe. Ukimwambia twende shamba au site anasema "kwanini unahangaika kujenga mbali kote huko wakati unaweza kukodi nyumba mikocheni ya laki saba". Ukiwa naye barabarani akiona gari nzuri anapagawa kabisa. Anawaza furniture za milioni 15 wakati kipato chake hata milioni haifiki. Kalagabaho! nikamwaga kilaini. Akaja kuwa kama zulia, watoto wa mbwa wanajisevia tu. Kajichokea bure siku hizi.
 
Unakuta mpk birthday mtu anataka achangiwe yani mambo tasiyokuwa ya msingi mtu ndio anahangahika nayo ili aweke picha instagram
Na haka katabia ka kuchangiwa bdei kapo sana siku hizi..me usiniletee huo upuuzi wa michango ya kipumbavu
 
Hao viumbe akili zao sometimes wanazijua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…