Mtu hujawahi kulala nje unawaza kujenga kwa sababu gani? Hizi nyumba zinazojengwa nani apange? Vijana wa sasa hawana kazi na hawataki kazi ndo maana hawana hela,usikute kaombwa laki 2 anakuja kulalamika huku,shubaaaaaakengemiiiitt zakeHahaha! mleta mada ana hela za mawazo,mara awaze hiyo hela inaweza kununua bati mara madirisha mara aseme inaweza nunua boda boda, matofali, halafu arudi kusema inaweza nunua sijui kiwanja!
Toa hela dogo acha uoga wa maisha,hamna k ya bureHivi ukiwa nayo inabidi utoe tu kila ukiombwa?!!
hahaha utapeli huo babeMwambie atumie hela yake halafu ww utamrudishia[emoji3][emoji3]
Mkuu wanashangaza sana, nimeona Dar week hii wanawake wanafakamia pombe hatari sio sawa na mikoani tunako toka asieeWadada wa cku hz wanapenda anasa halaf wengi wao hawana uwezo
Kwani mwanzisha mada ni mwanamke?Kwahiyo unatuhukumu wanaume wote kisa tu umenyimwa hela na huyo jamaa yako?! huyo jamaa yako ndio anatuwakilisha wanaume wote?
Kwi kwi kwi mkuu hawa wapiga mizinga wanaudhi sana. Lakini ukweli ni kuwa wanapiga mizinga wanaume zaidi ya mmoja kwa wakati. Ni wanawake hatari sana kwa afya ya mwili na akili. Akitokea mtu akimhonga tu-zawadi tu-dogo tu anamlamba.Hahahahahaha mkuu umetisha
Wachoyoo tu halaf wana sababu lukuki wabinafsiIla wanaume jamani mie naona akili zenu hazitaki tu kuombwa hela
Mbona mimi nimeomba ya kuongezea mtaji naambiwa pambana na hali yako?
Waiiii mie nazitafuta nianze kuhongaa...Wachoyoo tu halaf wana sababu lukuki wabinafsi
Heheheh sikuwezi ili uwe unakipiga makofiWaiiii mie nazitafuta nianze kuhongaa...
Natafuta kiben 5 changu kidogo dogo
Unakuta mpk birthday mtu anataka achangiwe yani mambo tasiyokuwa ya msingi mtu ndio anahangahika nayo ili aweke picha instagramMkuu wanashangaza sana, nimeona Dar week hii wanawake wanafakamia pombe hatari sio sawa na mikoani tunako toka asiee
HongeraJuzi tu nimetoka kumnunulia demu wngu simu kama hiyo [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
Sio za mawazo, sina hela kabisa. Ndio maana hio 2.3m nimefikiria inaweza kufanya nini.Hahaha! mleta mada ana hela za mawazo,mara awaze hiyo hela inaweza kununua bati mara madirisha mara aseme inaweza nunua boda boda, matofali, halafu arudi kusema inaweza nunua sijui kiwanja!
RRONDO kujenga ukiwa bado kijana ni uoga wa maishaaSina hela mkuu.