ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,711
Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!
Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!
Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium
Mkuu wapi unaweza kumpata hivyo viwanja?
Wewe amekwambia kayajenga?Amekwambia hajayajenga?
Kidding bana, nilikuwa namuwaza huyo kilaza wako eti sim ya 2m??? Kha!Huo mkopo ni 25% interest si ungeenda benki utapata kwa 22% or less
Mkuu 2.3 unapata 600 sq metres ambavyo havijapimwa.
Nazungumzia DSM.
Kigamboni mbele mbele km kadhaa unapata vilivyopimwa. Kuna kampuni binafsi zinauza.
Aise hatimae nimekuona leoYou people
When we say wife material, they are not a finished product. Neither are we. There thing we all need to unlearn and learn.
Take trouble to mold your partner, take trouble to mold yourself and move forward.
Hakuna mtu aliyezaliwa kama mke au kama Mume bali kuna mchakato wa kuwa Mke au Mume.
Tusaidiane kufanyika Mke au Mume bora. Tusitegeme kumkuta mtu kama mkamilifu there and then.
Inawezekana huyu dada hana shida ila ni wa kusaidia tu kwenye kuweka vipaumbele au kumsaidia kuepuka maisha ya mashindano au ya kupenda vya juu kulingana na hali ya wakati huo. Kikubwa saidianeni ninyi kwa ninyi kuwa bora.
Otherwise kutumia kakigezo kimoja kumhukumu mtu ni sawa na kujilisha upepo.
We are very complicated beings.
Uwezo wa kutafuta riziki si mmepewa bure!waonaje mkitugaia na sie tena ndo mnazidi kubarikiwa!Mh nini ambacho wanaume tumepewa bure tukigawe?
Ni kweli kabsa ila kumbuka nyie ni vichwa vya familia kwahyo mmeshahalalishwa kutupa mahitaji yote!tukifanya huwa tunawasaidia tuUWEZO huo anatoa Mungu wetu wote ukimuomba hakunyimi.
Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!
Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!
Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.
NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.
Aisee...Mmh mengine tutayaongea kwenye biashara yangu ya chapati jioni si hapa wangu