Bae niongezee hela ninunue S9+

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkurya wangu anajua kucheza tuu
 
2.3m napata machine 6 za popcorn ambazo kila week zinaleta laki 3 na 60, ambayo nikikusanya kwa miezi 2 napata hiyo simu na faida juu ya biashara.
Ila ungempa hata laki 3 jamani sio kumkaushia kabisa.
Akili kama hii alie/atakaekuoa ana bahati sana.
Ningependa wengine wasome post hii wajifunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…