Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,021
- 142,920
Ulinipa sh ngapi? Ila ngabu uliniuzi sana ila nimemiss ma bufee ya mjini hapa
Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app
Kuomba nayo kazi ,inabidi tutafute kikosi kazi tutumie ile style ya jotiMi bwana naomba ila nikiomba nakua nina shida kweli. Na napenda kupewa bila kuomba maana mgumu wa kuomba
L kaniambia nimwambie anko Juju amlipie DSTV this time. Mama kalipa cha 19000 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante anko JujuWewe tena? Of course!!!
Wewe unaendana kabisa na iPhone X.
Sitaki tena urafiki na wewe bna .Nilitaka kukupa laki moja. Unakumbuka? Hahahaaaa
Kama nilikuudhi nisamehe tu mama. Mimi siyo timilifu.
Massage vipi sasa....ntapata?
Sio zoba .umekaa kiinocent bae!Kwahio nimekaa kama zoba fulani....sawa miss.
Sitaki tena urafiki na wewe bna .
Okay anko JujuNah babe!
I’m complimenting you!
Hongera sana...Mi bwana naomba ila nikiomba nakua nina shida kweli. Na napenda kupewa bila kuomba maana mgumu wa kuomba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I render my salute to her!
Na Lodge eti [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Teh teh teh....
Vingine je?
Acha kupotosha wenzio.
Si ndo anioe sasa mimi wifi?Muacheni kaka yangu aoe sasa.Rrondo ni husband material sana ni fighter sana sema penye miti wajenzi hakuna mvua tu nyingi
Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app
Naona umeamua kuingiza watu kingiMuacheni kaka yangu aoe sasa.Rrondo ni husband material sana ni fighter sana sema penye miti wajenzi hakuna mvua tu nyingi
Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app
Na Lodge eti [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha haha!!!Duh....50,000 out of 2.3m? Tuko wangapi hapo?