Bae niongezee hela ninunue S9+

Ohoooo jamani mawifi zangu mbona wananiaibisha?
 
Snap chat tuuuuu. Halafu tukiwa na simu nzuri mnatuona matawi kama ukinitongoza unanitreat vizuri. Ndo wanavyosema lakini sio mimi [emoji23][emoji23]

Whatever “matawi” means lakini mimi sidhani kama simu inabadilisha character au status ya mtu kwenye jamii.

Ila nimegundua wapo watu wanaozichukulia baadhi ya aina za simu kuwa ndo status enhancer.

At the end of the day, to each his own.
 
Whatever “matawi” means lakini mimi sidhani kama simu inabadilisha character au status ya mtu kwenye jamii.

Ila nimegundua wapo watu wanaozichukulia baadhi ya aina za simu kuwa ndo status enhancer.

At the end of the day, to each his own.
Remember your iPhone thread?
 
Ila mi si ulisema utaniletea bby?

You’ve been so good to me.

Especially what you did to me yesterday.

I owe you something really really nice.

And my word is bond. So just hang tight and you’ll love it!
 
Best baba. Kwahiyo mimi ile Iphone X huniletei tena?
 
Tunaojihudumia tunakuaga na akili. Unadhani ningekua napewa tu ningepata hiyo akili? Mi mtu akinipa ananiongezea ila changu nakitafuta kwa nguvu jamani sasa ndo nichezee hela hivyo wee

Halafu billing cycle ijayo ntakulipia mimi ile bill ya DSTV!

Wewe sikuamini. Nikikupa hela ukalipie si ajabu utakosea tena kama ile siku.

Teh teh unakumbuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…