Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Hawa jamaa badala ya kwenda kwenye majimbo kuhamasisha maendeleo wao wameenda nchi za nje kuichongea nchi yao TZ kua inakandamiza democracy ili iwekewe vikwazo vya kiuchumi ambavyo vitawaumiza wa TZ wote bila kubagua wakiwemo wapiga kura wao.Huu ni upumbavu wa kiwango cha lami.
 
Tatizo sisi mashabiki ndio tunao wadekeza wapinzani hasa Chadema. Hata wakosee vipi kuna watu wanatetea tu kama vijana wa Lumumba wanavyofanya. Chadema unaitofautishaje na CCM?
 
Kwa mtazamo wangu vyama vya siasa navilinganisha na timu za mpira pale usajili unapozidi,kuna kuwa na lundo lacwachezaji wanaokaa benchi,kumbuka unapohamia timu fulani unakuta kunawakingwe ambao pia hawapati namba,sasa kwenda sasa kusajiliwa timu hiyo kutapelekea chuki,uchawi na usaliti,kwani wakongwe hawatokubali wageni wapate namba,naiona chadema yangu km timu inayokimbiwa na baadhi ya wachezaji wake nyota,hili halinipi wasiwasi kwani kuna damu changa inayohitaji kupata nafasi ya kuonyesha uwezo wao,naamini 2020,wataibuka vijana mashujaa ndani y Chadema wataofanya maajabu ktk uchaguzi,wacha wahame lkn chadema itazidi kuimarika,sisi wananchi ndio tunajua hali halisi ya maisha ,kuhama kwa wapinzani hakutoathiri safari y Mabadiliko
 
Ulibwia nishai ikapanda ukaandika bila lengo, unawapotezea watu mud a na nafasi.
 
Umeuliza swali pia umetoa maelezo kibao. Wewe ni zero hata ktk fasihi.
Tambua kuwa upinzani kwa ujumla unakubalika mno.
90% ya watu wasomi ni wapinzani waishio kwa hoja. 80% ya wasiosoma waishio vijijini wanafuata upepo wa hela rushwa ama vitisho ktk kuamua. Sasa mwenye akili timamu na muumini wa kweli wa Mungu hawezi kuishabikia ccm ya sasa.
Ni bora kuishi bila chama kuliko kuwa mfuasi wa ccm.
 
Duh!

Hivi niliandika hivyo zaidi ya mwaka ulopita?

Amazing prescience!!
 
Lakin
Lakini yatokeayo kama kwako ni ya heri si uendelee kufurahia! Au unasikitika ungependa wangefanya kinyume? Au unaongezea maarifa wasomaji waone Ukawa group si chochote? Kama tunaipenda nchii hii tuombee na kupigania kuwa na upinzani imara pia yaani hata kama CCM itakuwa upinzani iwe imara kumudu magumu yote ya chama tawala..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…