Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Soma sheria za jamii forums kabla hujapost kitu chenye uchochez njoo somalia utapata jibu
 
Haa ngabu bado tuna imani na chadema. Kwani wewe umewezaje kuwa na imani na ccm baada ya kuboronga toka Uhuru mpaka Leo? huku umeshikilia kuwatangaza USA tangaza Tanzania ya ccm basi wametufanya tumekuwa..... mbele za majirani zetu bado watu wameendelea kuwa na imani nao. Ccm imetufikisha sehemu ambayo jirani ameota mapembe anadesa mpaka mpaka ya nchi yetu kwao! [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Lengo letu policcm watubeze then hapo kila kitu kinakua safi
Maana imeandikwa ukiipuuza kua chadema haipo hapo ndio chadema huibuka
 
Mi naimani tena zaidi kwa kuwa kama Chadema,wasingee kaa na kutangaza ukuta,watu wengi wasingejua uoga wa watawala,wameandaa majeshi yetu,tena utadhani kwamba wanaenda kupambana na taifa kama marekani,na pili kama ni imani basi afadhali niiamini chadema kuliko matamko ya kuzuia uingizaji wa sukari alafu unaingiza.
 
Hawa jamaa leo wamefanya makosa ambayo watakuja kuyajutia huko mbele....
Walichokifanya ni sawa na mchezaji wa mpira aliyebaki na goalkeeper halafu akapiga mnazi....
Lumumba mnaongoza kwa unafiki,kwa hiyo watu wangepigwa na kuuwawa au kuumizwa ndio angekuwa wamefanya busara embu kuweni na akili nyie msishabikie upuuzi.
 
Lumumba mnaongoza kwa unafiki,kwa hiyo watu wangepigwa na kuuwawa au kuumizwa ndio angekuwa wamefanya busara embu kuweni na akili nyie msishabikie upuuzi.
mwanzo mbona mlisema mpo tayari kufa kutetea ukombozi?? au mnayakana tena maneno yenu?
 
imekula kwako maana na wewe ni miongoni mwa watu waliokuwa wanasubiri kuona mapambano kati ya watu wasiokuwa na silaha na watu wenye silaha za vita,na kwa ujinga wako ukategemea kwamba ndio itakuwa mwisho wa upinzani tanzania maana wapizani wote wangeuwawa siku hiyo kumbe wanachokifanya wenzako ni kuakikisha ujumbe wa ukandamizaji unawafikia watu. na hayo mawazo sio yako pekeyako hata viongozi wako nao ndivyo walivyokuwa wanafikiri hivyo,kwa hiyo hata wao wanamasikitiko makubwa maana walikuwa wamejiandaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…