mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 245
- 194
Msaga Sumu amenituma nikufikishie salamu zake mkuu!![emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna wanaume wana bahati sana, kama mume wa miss chagga, mwanamke mwenye busara na hekima pia anajua kuitafuta pesa.
Asante mkuu, majibu ni kuwa, siku yangu itakuwa nyepesi sana leo baada ya salamu hizi.Msaga Sumu amenituma nikufikishie salamu zake mkuu!![emoji1] [emoji1] [emoji1]
Habari zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii sasa hivi zinadai kuwa huyu jamaa anakunyima usingizi,huli wala hupumui!.....Hizi habari zina ukweli wowote mkuu?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Asante mkuu, majibu ni kuwa, siku yangu itakuwa nyepesi sana leo baada ya salamu hizi.
Wala si ubuyu, hayo usemayo ndiyo uhalisia.Habari zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii sasa hivi zinadai kuwa huyu jamaa anakunyima usingizi,huli wala hupumui!.....Hizi habari zina ukweli wowote mkuu?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa hiyo ukimuona uso kwa uso utaloa papo kwa hapo mkuu?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wala si ubuyu, hayo usemayo ndiyo uhalisia.
Kwani wewe bado hujapataDah ivi kweli sababu wengine tushakata tamaa tunasubir baraka za mwenyezi mungu
Hii siyo promo kweli, acha promo, acha wanaume wenyewe tuchambue, miss chagga ahhhhKuna wanaume wana bahati sana, kama mume wa miss chagga, mwanamke mwenye busara na hekima pia anajua kuitafuta pesa.
Uskate tamaa aishaDah ivi kweli sababu wengine tushakata tamaa tunasubir baraka za mwenyezi mungu
Ni katika kujipendekeza pia, ana makaka wengi na mimi ninatafuta mume.Hii siyo promo kweli, acha promo, acha wanaume wenyewe tuchambue, miss chagga ahhhh