The ice breaker JF-Expert Member Joined Apr 20, 2023 Posts 1,119 Reaction score 2,436 Mar 31, 2025 #1 Bado na wewe siku ya sikukuu , unatoka kama mtoto , na una demand nguo mpya kabisa au umeacha hayo mambo? Mimi nipo kazini
Bado na wewe siku ya sikukuu , unatoka kama mtoto , na una demand nguo mpya kabisa au umeacha hayo mambo? Mimi nipo kazini
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,541 Reaction score 7,372 Mar 31, 2025 #2 Muhimu sana kutoka hasa na watoto, labda kama hujabarikiwa kuwa na watoto
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,516 Reaction score 89,013 Mar 31, 2025 #3 Mimi ndo nimetoka disko toto sahivi nimecheza mapiano mpk macho yanauma!
The ice breaker JF-Expert Member Joined Apr 20, 2023 Posts 1,119 Reaction score 2,436 Mar 31, 2025 Thread starter #4 KENZY said: Mimi ndo nimetoka disko toto sahivi nimecheza mapiano mpk macho yanauma! Click to expand... 😅😅
KENZY said: Mimi ndo nimetoka disko toto sahivi nimecheza mapiano mpk macho yanauma! Click to expand... 😅😅
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,179 Reaction score 14,064 Mar 31, 2025 #5 Ndio. Siku kama hizi sehemu zenye makutano ya watu lina vibe lake. Na ambao hatujaoa, Ukizubaa tu unakuta kataa ndoa washatoka na mpenzi wako 😀 Hapa nimetoka kuagana na beib, nimepitia sehemu napiga bia 2 huyo kulala kabla ya kesho
Ndio. Siku kama hizi sehemu zenye makutano ya watu lina vibe lake. Na ambao hatujaoa, Ukizubaa tu unakuta kataa ndoa washatoka na mpenzi wako 😀 Hapa nimetoka kuagana na beib, nimepitia sehemu napiga bia 2 huyo kulala kabla ya kesho
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,710 Reaction score 20,717 Mar 31, 2025 #6 Mi sijatoka niko home na familia
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,207 Reaction score 7,364 Mar 31, 2025 #7 Sikukuu za kisilamu hazina mvuto wa mtoko. Na sign out
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,493 Reaction score 11,643 Mar 31, 2025 #8 Kusema ukweli Sikukuu za waislamu hazina amsha amsha kama za wakristo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,793 Reaction score 1,251,528 Mar 31, 2025 #9 Kazi njema
J July 77 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2024 Posts 3,175 Reaction score 4,542 Mar 31, 2025 #10 Tumwesige senior said: Kusema ukweli Sikukuu za waislamu hazina amsha amsha kama za wakristo Click to expand... Huna hela wewe!
Tumwesige senior said: Kusema ukweli Sikukuu za waislamu hazina amsha amsha kama za wakristo Click to expand... Huna hela wewe!
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,493 Reaction score 11,643 Mar 31, 2025 #11 Kalemba said: Huna hela wewe! Click to expand... asante kwa kunidhalilisha
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,803 Reaction score 9,146 Apr 2, 2025 #12 Unatafuta pesa za Nini?? Maisha mafupi haya shaur yako