sooooo sad DC, wapi huko, maaana kijijini kwetu naona pamekucha tu
ila mama angu mdogo alinipa kali, eti anasikia mjini kuna vyama vingi mbona
wao sijawapelekea?? nikajiuliza how?nikabaki kucheka tu
Kawaida sana hii kule kwetu, mie pia nimekulia mmazingira hayo, na juzjuz tu nilikuwa huko muendelezo ndio huuhuuBB,
Ngoja niwalindia heshima na utukufu wao (kama wale wachunga kondoo wanaotumaliza na heroin)!! Yaani nimekubali kwamba hiz key boards zimetutenga sana na ndugu zetu!!
Kuna vitu hata nilishasahau kwamba vipo katika dunia hii...mfano kwenda "toilet" bila maji wala toilet paper na badala yake unaambiwa kuwa wenyewe wanatumia majani ya miti...Mhhhhhh.....Hii dunia hata sijui ikoje!!
Kawaida sana hii kule kwetu, mie pia nimekulia mmazingira hayo, na juzjuz tu nilikuwa huko muendelezo ndio huuhuu
unabeba jembe shambani huko kumaliza ishu, choo cha wageni ili kisijae, tena waliotoka dar