Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Kwani angefanya manunuzi bila kufuata utaratibu?Na hakika huyu jama angekuwepo na nguvu na akili zake akapewa madaraka baada ya kijana wa msoga still watu wangemchukia!
Kwani angefanya manunuzi bila kufuata utaratibu?Na hakika huyu jama angekuwepo na nguvu na akili zake akapewa madaraka baada ya kijana wa msoga still watu wangemchukia!
We nadhan huwajui wabongo vizuri. Kama huyo JK tu pamoja na kumkumbuka kinafiki wakati walikuwa wanamponda dhaifu sana ila sasa wanamlaki kila anapokatizaKwani angefanya manunuzi bila kufuata utaratibu?
Mkuu, subiri mvua ya matusi kutoka kwa wale jamaa walioshikiwa akili na Dada Mange.Magufuli unaweza kufikiri ni mtoto wa Sokoine,maana anapita mulemule
Usitumie nguvu sana kupambana na hali halisi. Kila binadamu ana kasoro zake, napo watu huzidiana.We nadhan huwajui wabongo vizuri. Kama huyo JK tu pamoja na kumkumbuka kinafiki wakati walikuwa wanamponda dhaifu sana ila sasa wanamlaki kila anapokatiza
Nasikia Ka.w.w.wwaa na babu yangu Ms.yu.yaaa ndio walipanga njama hizoHuzuni Sana, naona madingi mafedhuli yalimtangiza Kwa mbele
hawa Chadema walihusika, kwani Ccm hatuga tabia ya kuteka na kuuaHuzuni Sana, naona madingi mafedhuli yalimtangiza Kwa mbele
huyo alikua na akili co km huyu mropokajMagufuli unaweza kufikiri ni mtoto wa Sokoine,maana anapita mulemule
Mbowe sio mropokaji labda kama unamaanisha Lemahuyo alikua na akili co km huyu mropokaj
uzur umeelewaMbowe sio mropokaji labda kama unamaanisha Lema
Nadhan uropokaji sio kipaumbele kwa Watanzania, kingekuwa kipaumbele Lowassa angekuwa rais,jamaa huwa haongei sanauzur umeelewa
Magufuli unaweza kufikiri ni mtoto wa Sokoine,maana anapita mulemule
Hili ni jiwe sio jembe. Jiwe halilazishi.Hana Tofauti na jembe la sasa
[emoji16] [emoji16] [emoji23] yani kuna watu vichwa vyenu vikoje! Duh........[emoji23] [emoji23] yan nimecheka mpaka bas!Mimi ndo nimevuta bangi au mleta maada?