Bado siku saba dowans walipwe

WJN

Member
Nov 6, 2010
54
0
Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vilivyotoka leo, hapa tusipokaa sawa huenda dowans wakalipwa hayo mabilion wiki ijayo.
 
Hili la Dowans kulipwa si ajabu, kwani mangapi yamefanyika? watanzania ni wapole na wakarimu sana hawana tatizo hata kidogo na mtu ilimradi wapewe ahadi ya maisha bora.

'Hata nchi ikiuzwa! hiyo kwao sio ishu limradi hawasikii mirio ya risasi(utulivu na amani)
''

'Mungu ibariki nchi hii na watu wake'
 
watalipwa na watanzania tutasahau kwani ndo jadi yetu kupiga kelele na kusahau mangapi tuliyapigia kelele na tukasahau
 
Issue ya DOWANS sasa imekuwa kama ngonjera, na mwisho wa siku watalipwa. Dili hapa ni kuanzisha tu na we kampuni yako, ili twende sawa.
 
Back
Top Bottom