kwa 2kio la leo nimepata 50%ya lowasa kuwa rais
ccm haing'oki madarakani acheni wehu wenu hapaa,, tuweke na akiba ya maneno ,,,na wala suala la wizi wa kura lisije tuletea fujo buree hapa nchini...
Ukawa hamjitambua hataa,, sasa hivi wengine wenyeviti wazima jukwaani
hawajui waongee NCCR au NLD wao ni peopleeeeee pesaaaaaaa.......
[Toa hoja mkuu si vioja]

Hata KANU ,hata ZANU walikuwa na mtazamo kama wako lakini mwisho wa siku walichanuka na goli likaingia..hivyo basi suala la CCM kuondoka mwaka huu halihitaji mjadala..Mgombea wenu magufuli kakata tamaa sana ..hivi kweli mtu serious unaweza kuanza kuambatana na mwigulu awe anakupigia kampeni?
ccm haing'oki madarakani acheni wehu wenu hapaa,, tuweke na akiba ya maneno ,,,na wala suala la wizi wa kura lisije tuletea fujo buree hapa nchini...
Ukawa hamjitambua hataa,, sasa hivi wengine wenyeviti wazima jukwaani hawajui waongee NCCR au NLD wao ni peopleeeeee pesaaaaaaa.......
Utaamini oct 25