Bado sijaamini kama CCM inaondoka madarakani

Bado sijaamini kama CCM inaondoka madarakani

Mdahalo wa leo ,umemaliza kazi ,ni wazi kabisa nia na madhumuni ni kutoa onyo kuwa CCM inashindwa na muhimu ni kukubali matokeo ya kushindwa kwao,na pia kuonywa kwa vyombo vingine kutoibeba wala kutumika kuiokoa CCM kwamba wakae mbali na wawe wenye kutenda haki sawa kwa vyama vyote.
 
Taratibu utaamini tu!!
 

Attachments

  • 1439744024096.jpg
    1439744024096.jpg
    99.4 KB · Views: 99
Mmeshahakiki vitambulisho vyenu vya kura au mna- comment tu.......
 
Back
Top Bottom