Kitambo sana sijatia magulu humu ndani mara nyingi Himidini, mwallu na Mphamvu mmeniita ila sikuitika si kwamba nimeondoka hapana ila siwafichi nilitetereka kidogo sikumaliza mwaka vizuri kiasi hata nguvu za kuingia hapa ndani sikua nazo kabisa...
Ashukuriwe Mungu ambaye siku zote hatuachi tuangamie na mpaka sasa nina nguvu na hata mnaniona nimerudi, sitaki kuwachosha sana na maneno yangu mengi ila hapa ndani siku zote pamekua pananipa raha toka nimejiunga sijawahi kujuta kuna wengine nimewahi kuonana nao na nikajisikia raha kama watu8 na [MENTION]manoah[/MENTION] hata mzabzab japo ule mpango hatukuukamilisha.
Bado Nipo na nnamis sana watu wote wa hapa ndani maana kuna wakati huwa nasoma thread nacheka hadi machozi yananitoka
Salamu kwa wote wanaonifahamu na wasionifahamu
Habari za siku nyingi Rich woman
welcome back Rich woman
usijali..pilipili ya kuwasha au ya wastani?
My cupcake nini tena mbaya...
vipi tena kijana wangu.......kuua ni kosa la jinai utanyongwa
Kitambo sana sijatia magulu humu ndani mara nyingi Himidini, mwallu na Mphamvu mmeniita ila sikuitika si kwamba nimeondoka hapana ila siwafichi nilitetereka kidogo sikumaliza mwaka vizuri kiasi hata nguvu za kuingia hapa ndani sikua nazo kabisa...
Ashukuriwe Mungu ambaye siku zote hatuachi tuangamie na mpaka sasa nina nguvu na hata mnaniona nimerudi, sitaki kuwachosha sana na maneno yangu mengi ila hapa ndani siku zote pamekua pananipa raha toka nimejiunga sijawahi kujuta kuna wengine nimewahi kuonana nao na nikajisikia raha kama watu8 na manoah hata mzabzab japo ule mpango hatukuukamilisha.
Bado Nipo na nnamis sana watu wote wa hapa ndani maana kuna wakati huwa nasoma thread nacheka hadi machozi yananitoka
Salamu kwa wote wanaonifahamu na wasionifahamu
Guys talk, mambo madogo
madogo mi na swahiba wangu. Si unajua raundi ya pili ya Ligi Kuu inataka
kuanza?
karibu mwaya kweli
nilikumiso sana yaani mpaka nikakusahau kumbe upo vipi unaendeleaje kwa
sasa bestito
karibu home jamvini tena ule matunda yote humu ndani
Karibu bila shaka unayo mengi yakutujuza,,,,
mhhh haya guys talk hope kipistol hakihusiki hapo
Bora kunyongwa unakufa kama Mtwa Mkwawa kuliko hii fedheha poti...