Bado nipo nipo kwanza

Mambaenock

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
427
Reaction score
107
Habari wana MMU,

Katika hali ambayo imezoeleka na vijana wengi kuhusu hatima yao katika mahusiano ya kimapenzi juu ya wenzi wao iwapo wataoana au la
moja ya jibu lililotawala kwa vijana wengi ni lile linalosema BADO NIPO NIPO KWANZA

Hali hii hii imekua ikiendelea kila mwaka ukimuuliza tena mwakani Bado nipo nipo kwanza
yupo yupo kwanza mpaka miaka 30 mwisho 40 bado yupo yupo kwanza

Wengine utasikia anakwambia NAKULA KWANZA UJANA MAISHA YENYEWE MAFUPI
so ngoja kwanza nile ujana ili nikizeeka nisihangaike.,

Swali langu kwa vijana hii maana yake nini?
Katika mahusiano ya kimapenzi .,
 
Wewe si ujali ya kwako..ya Wengine yaache kama yalivyo
 
kwamba ndoa si jambo la kukimbilia sana ila huyo anamiaka 40 alafu bado yupo yupo anatatizo mwilini mwake
 
Hii ni kutokana na hali halisi ya dunia kwa sasa ilivyo. watu kutokua waaminifu kwenye ndoa zao na pia uoga wa majukumu.
 

Heeeeee kwani lazimaaaa. Naishi nipendavyo na c mpendavyo nyiee. Pia wanaume waowaji hawapo wamebaki wachakazaji wa watoto wa watu.
 
Ndoa ni kama kucheza kombolela, kila mtu ana jinsi yake na muda wake wa kubutua.
 
usioe au kuolewa kwa kumridhisha mtu
nasfi ikiridhika hilo jambo hutendeka kwa hiari ya mhusika
ndio maana wengi husema bado wapo wapo
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…