bado nipo nipo kwanza

bado nipo nipo kwanza

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
Kweli bado niponipo FA akukosea kusema aliye lala na bi haruri sikumoja kabla ya harusi nawala si bwana harusi bado mnanishauri harusi?????????.... bado nipo nipo
 
attachment.php
 
Yeah, ukiambiwa mkware ndio huyo...tempted to touch!
 
Kweli bado niponipo FA akukosea kusema aliye lala na bi haruri sikumoja kabla ya harusi nawala si bwana harusi bado mnanishauri harusi?????????.... bado nipo nipo
Very good. Endelea kuwa upoupo tu. maana ukishanaswa na mmoja hutakuwa huru tena.....tutashindwa kukupata. hata mimi bado nipo nipo kidogo. ila huyo mkware ni noma. hata haogopi macho ya watu!!!
 
very good. Endelea kuwa upoupo tu. Maana ukishanaswa na mmoja hutakuwa huru tena.....tutashindwa kukupata. Hata mimi bado nipo nipo kidogo. Ila huyo mkware ni noma. Hata haogopi macho ya watu!!!
dunia ina mambo kweli wanaume vichaa
 
huyo mdada kajisogeza karibu sana na bwana hrs,hata mimi ningemshika kumridhisha maana wanaume tumeumbwa na huruma na sio wachoyo tuna roho nzuri ya kutoa ushirikiano
 
poel pole ndio mwendongoja ngoja yaumiza matumbosubira yavuta kheri.BUT NEVER LATE IS BETA.
 
dunia ina mambo kweli wanaume vichaa
Jana nilikuwa nasikiliza RFA segment ya bangua bongo. Kuna jamaa kila siku alikuwa anapigwa na mkewe. Wakati anapigwa alikuwa anapiga kelele na baadaye rafiki yake mmoja akawa anakuja kumsaidia mara asikiapo sauti ya kipigo. Siku moja jamaa aliyekuwa anapigwa na mkewe akamuomba ushauri yule rafiki yake ambaye huwa anamsaidia asiendelee kupigwa, Akamwambia "rafiki yangu nifanyeje na huyu mwanamke mbona amezidi kunionea?". Jamaa akamjibu "aah....we mteme tu aende kwao asiendelee kukuzingua". Jamaa akafuata ushauri wake akamwacha yule mwanamke. Baada ya mwezi kupita jamaa aliyeacha mke akapata kadi ya mwaliko wa harusi. Kufika kwenye harusi anakuta jamaa aliyemshauri amwache mke ndiye bwana harusi na yule mke aliyemwacha ndiye bibi harusi. Kama wewe ndio ungekuwa huyo jamaa aliyeacha mke ungefanya nini hapo ukumbini?.
Sasa usikute huyo bwana harusi hapo kwenye hiyo picha tayari anamahusiano na huyo matron. Subiri siku mbili tatu mmoja kati ya hao wawili lazima azue zengwe kwenye hiyo ndoa. Wote hawajatulia hao...hahahaa
 
dunia ina mambo kweli wanaume vichaa
Jana nilikuwa nasikiliza RFA sement ya bangua bongo. Kuna jamaa kila siku alikuwa anapigwa na mkewe. Wakati anapigwa alikuwa anapiga kelele na baadaye rafiki yake mmoja akawa anakuja kumsaidia mara asikiapo sauti ya kipigo. Siku moja jamaa aliyekuwa anapigwa na mkewe akamuomba ushauri yule rafiki yake ambaye huwa anamsaidia asiendelee kupigwa, Akamwambia "rafiki yangu nifanyeje na huyu mwanamke mbona amezidi kunionea?". Jamaa akamjibu "aah....we mteme tu aende kwao asiendelee kukuzingua". Jamaa akafuata ushauri wake akamwacha yule mwanamke. Baada ya mwezi kupita jamaa aliyeacha mke akapata kadi ya mwaliko wa harusi. Kufika kwenye harusi anakuta jamaa aliyemshauri amwache mke ndiye bwana harusi na yule mke aliyemwacha ndiye bibi harusi. Kama ni wewe ungefanya nini hapo ukumbini.
Sasa usikute huyo bwana harusi hapo kwenye hiyo picha tayari anamahusiano na huyo matron. Subiri siku mbili tatu mmoja kati ya hao wawili lazima azue zengwe kwenye hiyo ndoa. Wote hawajatulia hao, we mwangalie hata huyo best man alivyo macho juuju...Usikute hata huyo matron anatomasatomasa ndude ya bwanaharusi kwa mbele akizani watu hawamuoni....hahahaa
 
Verry possible kuna siku niliambiwa nikasimamie harusi as mates, wakanitafutia na partner wa ukweli (wanaume wanne na wadada wanne) mkuu ilikuwa ni majaribu sana.... but... in process (IP)
 
Ikitokea bi mkubwa anaiona hiyo picha tena kwenye tukio kama hili...sijui itakuwaje!!
 
Back
Top Bottom