kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 419
- Thread starter
- #21
Asante sana mkuuIko hapo karibu na St Thomas jengo la ghorofa la Salim Allly
Jaribu NSK kama unaelekea Unga limited au Orbit kama unaelekea Viwanja vya Gymkhana.Asante sana je kwa Arusha ni wapi Wana vipimo hivyo ukiachana na agakan na icc na gemsa?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sawa nitafanya hivyoJaribu NSK kama unaelekea Unga limited au Orbit kama unaelekea Viwanja vya Gymkhana.