kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 419
Nawasalim kwa pamoja ndugu zangu
Mimi kijana wa miaka 32
Nimeoa Nina mtoto 1
Tatizo langu ni
Maumivu yaliyopitiliza na ya muda mrefu ya kiuno
Maumivu ya mara kwa mara ya kichwa ni kama miaka 7 Sasa maumivu ya kichwa japo yalianza kidogo kidogo Ila kadri siku zinavyozid kwenda maumivu yanaongezeka
Pia wakati mwingine tumbo linanguruma lkn haliumi wakati huo huo Kuna mchakacho nausikia kichwani kama mlio wa kugonganisha nyaya (unapita shwiiiiiiiing )
Pia Nina uchovu uliopitiliza si wa kawaida
Huo uchovu unaambatana na kichwa kuwa kizito sana
Naonekana kama nililewa sana jana kupitiliza Ila sijatumia pombe
Pia napata pumzi mbaya yaan napumua kwa shida hasa usiku Kuna muda nakosa pumzi kabisa Hadi mke wangu ananipepea na natokwa na jasho sana
Niliwahi kwenda hospitali wakanipima na ex ray walinipiga Ila hawakuona tatizo
Walinipa tu daw za maumivu Ila hazikunisaidia
Nimekuja kwenu kwa tumain kubwa la kupata msaada wa kimatibabu au ushauri
Namba yangu ni 0753939619
Kwa yeyote mwenye ushauri naupokea kwa mikono miwili
Ahsanten
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app