tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
Uongo adui mkubwa wa mapenzi
tunakumiss pia my dada hahhahaa kuachana kwenu haiwezi kutokea mpe ruksa atuhadithie mlivyokutana lol
Wazee hawakuwa wajinga waliposema 'ukimchunguza kuku hutomla'
Bora kuku kaka,kuliko bata....
Bora mie nitumiae nokia kitochi.
Umesema????
Bora mie nitumiae nokia kitochi.
Mentor umenitisha. Kisa chako kimenitisha.Kinafanana na nilichotendwa tofauti sikufanya ukachero bali nilimkuta akitoka guest na njemba na mimi nikiwa napita. Hilo la simu na viuongo visivyo na sababu na jina kuanza na G ni maajabu.
Every honest Guy needs a superhonest Female. Im always uncomfortable with naked lies cause im also not that good at lies.Pongezi kwako mkuu Mentor we 1 up on this!
I call them life lessons...!
I am a better man - and smart - now cause of my experiences...can't complain!
CC: Paulo Sergio De Souz
mhm!! imbombo jhinoghile
Hahahah isiwe sababu...chepuka kistaarabu!
Halafu we dereeee....
Mkuu Ngarna, pole kwa masaibu. Unajua vitu vidogo kama hivi vinaumiza sana. Unajipa moyo vitaisha lakini unajikuta kuna ka-kovu kwenye moyo! Ila jipe muda, wahenga wanasema, "Time heals!"
atoto sijui nani kakutuma kuja huku, what are you diggin' 'em bones for????
I call them life lessons...!
I am a better man - and smart - now cause of my experiences...can't complain!
CC: Paulo Sergio De Souz