popo1986 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 1,120 Reaction score 373 Jun 27, 2016 #1 Wa kulima wenzangu mlionitangulia salamu kwenu.... Bado natafuta shamba Ruvu niliandika Uzi huu siku Fulani lkn si kupata mafanikio maisha magumu jamani nimeona nivumilie kwenye kilimo tuu Namba mwenye ufahamu wa kunisaidia kupata shamba Ruvu Ni PM
Wa kulima wenzangu mlionitangulia salamu kwenu.... Bado natafuta shamba Ruvu niliandika Uzi huu siku Fulani lkn si kupata mafanikio maisha magumu jamani nimeona nivumilie kwenye kilimo tuu Namba mwenye ufahamu wa kunisaidia kupata shamba Ruvu Ni PM
dovillenproperty JF-Expert Member Joined Nov 24, 2014 Posts 3,203 Reaction score 2,227 Sep 3, 2016 #4 Mimi ninazo heka 200,Ruvu nauza kila heka moja 450000 tuwasiliane uje kuona