Mume HIV+ anahitajika
Nina miaka 27, muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35, awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya ndoa. NB: Kigezo cha dini jamani ni muhimu.www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
AmeenAmiin..!! Ukapate sawa sawa na hitaji lako dear..!!
Kuwa HIV+ siyo "hukumu ya kifo"... huna haja ya kujitudinka kwenye mitandao...mkuu huyu Dada anajiheshim anataka ndoa sio zinaa huon akiwa na danga mm na ww tuko hatarin pia mfano mm she wangu anapenda pesa ile mbaya ko bora ampate mwenye ivo vigezo watulizane au unaonaje mkuu ๐ค๐ค๐ค
Jaman sikuwek post ili niulizwe maswali muwe unaheshimu maisha ya wengine.. ukiona ni kitu usichokielewa atleast pita soma nenda.
mkuu huyu Dada ni smart japo anaweza kubezwa kwa kujianika hari yake mtandaon but stil hatujui kama anao au laa lakn kama kwel anao kwangu mm namuona mtu Makin sana kwanza kaikubali hali aliyo nayo pil hofu ya kuambukiza mtu mwingne Tatu kupata maambukizi mapya kutoka kwa watu tofaut tofauti kitu ambacho kinatuteketeza vijana wengi so to me she's hero ๐Kuwa HIV+ siyo "hukumu ya kifo"... huna haja ya kujitudinka kwenye mitandao...
Asante,mkuu huyu Dada ni smart japo anaweza kubezwa kwa kujianika hari yake mtandaon but stil hatujui kama anao au laa lakn kama kwel anao kwangu mm namuona mtu Makin sana kwanza kaikubali hali aliyo nayo pil hofu ya kuambukiza mtu mwingne Tatu kupata maambukizi mapya kutoka kwa watu tofaut tofauti kitu ambacho kinatuteketeza vijana wengi so to me she's hero ๐
Heroes don't always wear uniforms with pants outside of trousersmkuu huyu Dada ni smart japo anaweza kubezwa kwa kujianika hari yake mtandaon but stil hatujui kama anao au laa lakn kama kwel anao kwangu mm namuona mtu Makin sana kwanza kaikubali hali aliyo nayo pil hofu ya kuambukiza mtu mwingne Tatu kupata maambukizi mapya kutoka kwa watu tofaut tofauti kitu ambacho kinatuteketeza vijana wengi so to me she's hero [emoji106]
Huko wanakochukulia Arv?
๐๐๐only superman do such things "pants outside of the trousers" but she's a captain malvel๐๐๐Heroes don't always wear uniforms with pants outside of trousers
Umenifanya nicheke Sana mkuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] una hatariKalye empali
Thanks