sokolaboro
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 313
- 54
hapa amesema uongo mkubwa. huenda hata polisi wanajua kuwa amewadanganya lakini wanamheshimu. blackberry ya 5.5m huo ni uongo. naibu waziri tumekushtukia sema ukweli.
Inatakiwa achukuliwe hatua kali za kinidhamu za kunyang'anywa silaha hizo kwa sababu si mwangalifu. silaha sio kitu cha kuweka waziwazi kama alivyofanya. Ni mzembe sana. simu za mkononi mtu anakaa nazo. mwizi alikuwa mmoja au wengi mbona mabegi matatu aliyabebaje? anatudanganya huyu.[COLOR=#0000cd said:Hata hivyo, Kaimu Kamanda huyo ambaye pia ni Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Morogoro, alisema mwizi aliyeiba vitu hivyo hakuiba bastola na bunduki aina ya SMG alizokuwa nazo Naibu Waziri huyo ambazo zilikuwa sehemu ya wazi[/COLOR].""
Jamani naomba kujua huyu kiongozi silaha zote hizi ni za nini? Je viongozi wanaruhusiwa kuwa na sila za kivita na kutembea nazo kokote? hivi vitu vyote alikuwa anataka kuhama mkoa au nchi?
Naomba kuwasilisha!
hapa amesema uongo mkubwa. huenda hata polisi wanajua kuwa amewadanganya lakini wanamheshimu. blackberry ya 5.5m huo ni uongo. naibu waziri tumekushtukia sema ukweli.
SMG ni silaha inayojulikana kama "assault automatic weapon" ambayo kwa sheria za Tanzania ni vyombo vya majeshi ya serikali tu vinavyoruhusiwa kumiliki. Mtu binafsi huruhusiwi kuwa na "assault weapon". Hivyo tunataka IGP na Waziri wa ndani atupe majibu kamili kama Malima alikuwa na silaha hii kihalali, na huo uhalalishaji wa kumilikishwa "assault weapon" ulitoka wapi.
Acha kumtetea, huyu mzinzi tuno good reason to actually discuss this. ONE MISTAKE, SEVERAL GOALS! Take care, next time it could be you.