Bado nasisitiza migomo vyuo vikuu tupeane ratiba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado nasisitiza migomo vyuo vikuu tupeane ratiba.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RICHMAHOO, Feb 1, 2011.

 1. R

  RICHMAHOO Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :peace:WAPIGANAJI KATIKA VYUO.MIGOMO NA MAANDAMANO PEKEE NDIYO SULUISHO.TUKIMALIZA SEHEMU MOJA TUNAKWENDA NYINGINE. SASA RUSHA RATIBA NA HAKUNA KUKATAA MIGOMO.HATA HUU WA WATOTO WA MAFISADI TWENDENI NAO UNAFAIDA KUBWA SANA.KIKUBWA TUSIWAPE NAFASI TUINGIE ALAFU TUITAWALE.HAKIKA CCM INATAFUTA NAMNA YA KUTUSHIKA NYOTA,TUSIWARUHUSU. MIGOMO YOTE RATIBA NA NAMNA YA KUIFANIKISHA MTAIPATA KWANGU.:peace:
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ratiba?intelijensia je?
   
Loading...