Wewe ni KE au ME?
Ni wanaume wachache sana wanaokataaga "nyapu" za bure kiasi kwamba existence yao inakuwa ni negligible.
Kama wewe ndiye uliyezingua "atakugonga" huku anaendelea na mtu wake aliye naye sasa hivi kama kawaida.
Kwa kweli cha msingi hapo ni kuthibitisha kama bado anakupenda,kama sio utanyanyasika zaidi. Ondoa mawazo kwake,utampata wa kufanana naye.
Ukikutana nae usiwe msemaji sana na mashauzi upunguze toka kawaida sana. Jitahidi kumsikiliza kwa makini na umjibu kwa ufasaha. Ongea yanayowahusu nyie wawili tu. Mwisho msifie alivyo handsome and tell him that unataka kuwa naye tena.
Mleta mada hapendwi angekuwa anapendwa angetafutwa tokea mwaka jana.
Hapo atapigwa p.mbu akitulize
Yeah. Amwambie ukweli tuuu. If in any case it doesnt work out then akubali matokeo asonge mbele.Sema naye!!
Mwambie mzike tofauti zenu then muanzie pale mlipoishia.
Kama mwenye kosa ulikuwa wewe, muombe msamaha na kama ni yeye mwambie umemsamehe.
Ndivyo hata MUNGU anavyonda watu wapendane na wasameheane.