Imenibidi nicheke kwanza, ndio mana kwanza kabla hujafanya maamuzi yakuwacha mwanamke hakikisha kua umeshamalizana nae kuanzia moyoni umalizie na machoni, huyo mdada kwa sasa yuko na mpenzi ulie mfumania nae
na still anakwambia anakupenda na weye unampenzi wako mwengine na nimzuri kuliko yeye na ni MCHA MUNGU .
Huoni kama hujui nini unataka? au kuna nini kilicho pungua kwa mcha mungu lakini kwa huyo ibilisi ulikua unakipata?
je mcha mungu hawezi kuachia kama yule mwengine? au huyo mwengine ana lipi la ziada?