bado nalia na charminglady


Umemkimbiza jukwaa dada yetu Charminglady!
 
Last edited by a moderator:
Jaman wakati ndio sasa umeooona umeona we haya tuu nakwambia cl akiondoka hapa kiukweliukweli wewe weweeeeee utajuuuta nakwambia

shemeji sitajutia lolote lijalo/linipatalo kwa sababu ya nimpendae,never ever
sitaacha kamwe kumpenda cl
 
Te te te! Approach yako kwa CharmingLady inatisha! Viumbe hawa uwa wanabembelezwa taratibu.

Osaka huyu atakua mtamu sana ndio maana anakua mchungu,mkali kweli akitongozwa huenda bado anasilidi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…