Bado naishangaa (admire) Urusi

Na mimi nilikua nashaangaa, hiyo Pakistan ina nini cha zaidi? Technolojia anampita Marekani? Mbona kuna oparations zingine za kijasusi hua zinafanywa na Marekani ndani ya Pakistani na wenyewe hawajui, wakija kushtuka wenzao washamliza mission yao

Marekani inafanya oparation za uwongo...pakistani inatumia wanatabia ya kujigeuza mara wawe wahindu,au tabligh au mkanada au singasinga n.k..kwahio ni ngumu ku reconise.
 
Possible maana inawezekana plan ilifanyikia marekani.
 
Kuna kitu wamarekani wanakijua kuhusu uwezo wa urusi ambao sisi hatukijui ndo maana wao wanaheshimiana sana!....sisi tutaishia kubishana tu!......Ila warusi ni best kwenye hesabu na physics!
 
Kuna kitu wamarekani wanakijua kuhusu uwezo wa urusi ambao sisi hatukijui ndo maana wao wanaheshimiana sana!....sisi tutaishia kubishana tu!......Ila warusi ni best kwenye hesabu na physics!
wale jamaa iq iko juu..nikikumbuka walivopandikiza mtu mi6 mpaka akawa kaimu mkurugenzi taifa nachoka,pale fbi wakaweka pandikizi lao,likadakwa 2000/01...hawana mbwembwe tu kama wale mabepari
 
Unataka kujua ili iweje mkuu? Lengo lako ni kujifunza ama nini?
 
Unataka kujua ili iweje mkuu? Lengo lako ni kujifunza ama nini?
Hahahaaa mkuu sina zaidi ya kutaka kujifunza tu. Yawezekana havina faida yoyote kwangu lakini kujiongezea maarifa na taarifa halijawahi kua kosa au tatizo mkuu wangu
 
Pengine wewe ni "mkazi" wa "nyumba" nyingine sasa unataka kupata habari ya jinsi ya "kusafisha" nyumba ya jirani!!
Mafunzo mema mkuu.
Hahahaa, ningekua mkazi wa hizo "nyumba" si wenyewe hao wangenipa mafunzo mkuu wakati mimi huku naokoteza okoteza vijimaarifa mtandaoni kwa kuuliza uliza wanaojua sababu ya curiosity yangu tu
 
Unajuaje Kama CIA ndo walitengeneza tukio Hilo kwa malengo maalum....
 
Hadi kudukuliwa FBI na CIA wanashughulika wao? Maana kuna watu wanadukua system za hiyo mitandao kama kumeza maji na hawajashilwa

NSA kuna mahacker tu wa mtaani wamewashinda
Hujui unacho kiongea ww
Jaribu kufatilia reliable sources upate kidogo mwanagaza

Anzia apa

Operation prism
xkeyscore
 
IRAN VIPI NDUGU ZANGU HUSUSAN KUWA NA SHIRIKA BORA LA UJASUSI??MAANA JAMAA NCHI YAO NI NGUMU SANA KUSIKIA MILIPUKO YA MABOMU
 
KWA PAKISTAN KUWA NA SHIRIKA IMARA LA KIJASUSI NI SAWA MAANA ADUI YAO WA KUDUMU NI INDIA
INDIA NA PAKISTAN HAZIIVI KABISA INGAWA WOTE NI WAHINDI

INDIA WANA POPULATION KAMA MILIONI 1200 WAKATI PAKISTAN WAPO MILIONI KAMA 180 HIVI LAKINI HIZI NCHI WANATUNISHIANA MISULI BALAA

PAKISTAN BAADA YA KUONA INDIA ANA NYUKLIA WALIAPA BORA WALE HATA MAJANI LAKINI NI LAZIMA WAWE NA NYUKLIA NA KWELI IMEKUA HIVYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…