Bado mnakata miti!

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,607
3,400
Barabara ya Samora hapo karibu na TTB naona miti inakatwa, with the issuing of world earth globally warm are u still in commie mind to cut down trees? Acheni hizo tafuteni namna kama manyaya yanapita chini au mui-prune
 
Hii kitu inakera sana umeme wao wenyewe wanategemea vyanzo vya maji na bila kuwa na miti ya kutosha huwezi kupata mvua za kutosha ila kila siku wao ni kukata tuu miti sijawai kuona wakipanda miti hata siku moja
 
Barabara ya samora hapo karibu na TTb ,naona miti inakatwa, with the issuing of world earth globally warm are u still in commie mind to cuut down treees? Achen hizo tafuten namna kama manyaya yanapita chini au mui prune
Samora ipi Posta? Wameshindwa kuboresha miundombinu tena maeneo muhimu sana kama B. O. T na Ikulu wameishia kuweza blocks pembeni ya barabara bila hata kuzipangilia barabara yenyewe ndio kabisaa hovyo
 
Barabara ya Samora hapo karibu na TTB naona miti inakatwa, with the issuing of world earth globally warm are u still in commie mind to cut down trees? Acheni hizo tafuteni namna kama manyaya yanapita chini au mui-prune
Walitakiwa wapande miti mingine kabla ya kukata hiyo
 
Barabara ya Samora hapo karibu na TTB naona miti inakatwa, with the issuing of world earth globally warm are u still in commie mind to cut down trees? Acheni hizo tafuteni namna kama manyaya yanapita chini au mui-prune
Usiishie hapo tu, wafuatilie wanapoondoka nayo kwenda kuitupa utashangaa kuona inapelekwa kwa watengeneza vitanda.
 
Barabara ya Samora hapo karibu na TTB naona miti inakatwa, with the issuing of world earth globally warm are u still in commie mind to cut down trees? Acheni hizo tafuteni namna kama manyaya yanapita chini au mui-prune
Picha
 
Back
Top Bottom