Mara zote simba akiwa nafasi ya pili kwenye ligi maneno ya mashabiki wao ni "Nyie tangulieni na baiskeli za miti! Mwaka jana mlianza hivyo hivyooo baadae tukawapindua!"
Simba anapokuwa anaongoza ligi maneno ya mashabiki wake ni "KILA MTU SHINDE MECHI ZAKE"
Sasa mimi niko na hili la pili la KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE
Simba ana alama 37 bado mechi 13 akishinda zote atapata alama 39 na jumla atakuwa na alama 76 ili Yanga atangazwe bingwa kwa mahesabu ya hivi sasa anatakiwa awe na alama 77 tayari ana alama 45 kwa hiyo bado alama 32 ambazo anaweza kuzipata kwa mechi 11
Hata hivyo iwapo atamfunga Simba katika mechi ya watani wa jadi basi itahitajika mechi kumi tu (10).
And this time wanatangulia kwa baiskeli ya.miti kama kawaida yao, washaanza kuhesabu mechi mapema hivi[emoji28][emoji28][emoji28]Asikwambie Mtu Kunyanyua Kwapa Kuna Raha yake..!
Japo Wachambuzi huwa Wanawapoza Kwa kuwaita 'Mabingwa Wa Kihistoria' kila Mwaka, Huku wakimshuhudia Mnyama Akinyanyua Kwapa...Sasa Wamechoka na hali hiyo..!
Haya ni Miongoni mwa Maruweruwe na ndogo Za Kutisha Wanazoota Usiku..!
Tumuombe Mola wetu atajaalie hizo pointiMara zote simba akiwa nafasi ya pili kwenye ligi maneno ya mashabiki wao ni "Nyie tangulieni na baiskeli za miti! Mwaka jana mlianza hivyo hivyooo baadae tukawapindua!"
Simba anapokuwa anaongoza ligi maneno ya mashabiki wake ni "KILA MTU SHINDE MECHI ZAKE"
Sasa mimi niko na hili la pili la KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE
Simba ana alama 37 bado mechi 13 akishinda zote atapata alama 39 na jumla atakuwa na alama 76 ili Yanga atangazwe bingwa kwa mahesabu ya hivi sasa anatakiwa awe na alama 77 tayari ana alama 45 kwa hiyo bado alama 32 ambazo anaweza kuzipata kwa mechi 11
Hata hivyo iwapo atamfunga Simba katika mechi ya watani wa jadi basi itahitajika mechi kumi tu (10).
😁😁😁😁Mwarabu yupi au pyramid?Tulieni msiwe na mchecheto Wananchi wenzangu. Ubingwa unakuja tu cha msingi tujiandae kishinda mechi zetu tuache kucheza mechi zao. Safari ya kwenda Africa kuwafundisha namna ya kumfunga mwarabu yeyote bila makando tena nje ndani
Huko misimu yote utakuwa ulikuwa katoto, jaribu kufuatilia kipindi km hiki yanga anaongoza ligi kwa TOFAUTI ya point let say 8 lkn wakati huo Simba ana viporo km 5!!!And this time wanatangulia kwa baiskeli ya.miti kama kawaida yao, washaanza kuhesabu mechi mapema hivi[emoji28][emoji28][emoji28]
Usisahau kusubscribe huu uzi tukumbushane mwisho wa msimuHuko misimu yote utakuwa ulikuwa katoto, jaribu kufuatilia kipindi km hiki yanga anaongoza ligi kwa TOFAUTI ya point let say 8 lkn wakati huo Simba ana viporo km 5!!!
Msimu huu hiki kitu hakipo ko ni gap la point bila kiporo.
Hilo kombe la mbuzi lichukueni tyu si tuko kimataiafaMara zote simba akiwa nafasi ya pili kwenye ligi maneno ya mashabiki wao ni "Nyie tangulieni na baiskeli za miti! Mwaka jana mlianza hivyo hivyooo baadae tukawapindua!"