Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,353
- 38,580
Hawa ni Marais wawili tofauti toka kwenye nchi mbili zenye kila kitu tofauti kabisa, lakini walipoingia madarakani watu kadhaa hapa Tanzania wakasema kwamba ni marais wanaofanana kwa kila kitu. Je hali ya mambo Tanzania na Marekani bado baadhi ya watanzania wanaendelea kumfananisha Magufuli na Trump?