MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Feb 1, 2020 #1 Tangu kutangazwa kwa coroma virus nilioda vitu kikuu ila hadi leo ni siku ya 14 hazijatoka China. Ila zilizokuwa njiani zimefika. Hawa mawakala wao hawajui chochote wala wao hawajasema lolote. Mwenye taarifa tafadhali
Tangu kutangazwa kwa coroma virus nilioda vitu kikuu ila hadi leo ni siku ya 14 hazijatoka China. Ila zilizokuwa njiani zimefika. Hawa mawakala wao hawajui chochote wala wao hawajasema lolote. Mwenye taarifa tafadhali
beka the boy Senior Member Joined Nov 6, 2018 Posts 167 Reaction score 97 Feb 1, 2020 #2 Mimi mwenyew ni muhanga kama wewe asee. MC44, Sent using Jamii Forums mobile app
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Feb 1, 2020 Thread starter #3 beka the boy said: Mimi mwenyew ni muhanga kama wewe ase Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Cha kushangaza hawatoi taarifa wapo kimya tuu
beka the boy said: Mimi mwenyew ni muhanga kama wewe ase Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Cha kushangaza hawatoi taarifa wapo kimya tuu
Mkojo wa Ngedere Member Joined Jan 7, 2020 Posts 25 Reaction score 13 Feb 2, 2020 #4 Inshort china wamefunga hizo services mpka hili janga linalowakabiriii litulie...me pia nachukua mizigo kule nimepewa hizo taarifaaa no body in no body out Sent using Jamii Forums mobile app
Inshort china wamefunga hizo services mpka hili janga linalowakabiriii litulie...me pia nachukua mizigo kule nimepewa hizo taarifaaa no body in no body out Sent using Jamii Forums mobile app
Nyengo3 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2020 Posts 526 Reaction score 1,317 Feb 2, 2020 #5 Daaaah kumbe! Maana nilikuwa kwenye mchakato wa kuagiza mzigo soon Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah kumbe! Maana nilikuwa kwenye mchakato wa kuagiza mzigo soon Sent using Jamii Forums mobile app
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,772 Reaction score 86,458 Feb 2, 2020 #6 Usikute ulienunua kwake kaenda na corona na mzigo aliushika akaacha corona! Jiandae kupokea mzigo na kamzigo corona 😜
Usikute ulienunua kwake kaenda na corona na mzigo aliushika akaacha corona! Jiandae kupokea mzigo na kamzigo corona 😜
kichakaa man JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 5,497 Reaction score 5,186 Feb 4, 2020 #7 Vp ukiachana na hiyo changamoto je kabla ya hapo hawa sio wasumbufu kutuma mizigo yao au niseme hawana utapeli Sent using Jamii Forums mobile app
Vp ukiachana na hiyo changamoto je kabla ya hapo hawa sio wasumbufu kutuma mizigo yao au niseme hawana utapeli Sent using Jamii Forums mobile app
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Feb 4, 2020 Thread starter #8 kichakaa man said: Vp ukiachana na hiyo changamoto je kabla ya hapo hawa sio wasumbufu kutuma mizigo yao au niseme hawana utapeli Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hawana mizinguo ndani ya wiki 3 una mzigo
kichakaa man said: Vp ukiachana na hiyo changamoto je kabla ya hapo hawa sio wasumbufu kutuma mizigo yao au niseme hawana utapeli Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hawana mizinguo ndani ya wiki 3 una mzigo
Melanny JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 1,247 Reaction score 2,259 Feb 10, 2020 #9 Si MC44 said: Tangu kutangazwa kwa coroma virus nilioda vitu kikuu ila hadi leo ni siku ya 14 hazijatoka China. Ila zilizokuwa njiani zimefika. Hawa mawakala wao hawajui chochote wala wao hawajasema lolote. Mwenye taarifa tafadhali Click to expand... uawasiliane nao na uwaeleze kuliko kulalamika humu jf
Si MC44 said: Tangu kutangazwa kwa coroma virus nilioda vitu kikuu ila hadi leo ni siku ya 14 hazijatoka China. Ila zilizokuwa njiani zimefika. Hawa mawakala wao hawajui chochote wala wao hawajasema lolote. Mwenye taarifa tafadhali Click to expand... uawasiliane nao na uwaeleze kuliko kulalamika humu jf
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Feb 10, 2020 Thread starter #10 Melanny said: Si uawasiliane nao na uwaeleze kuliko kulalamika humu jf Click to expand... Tayari . Huku sio kulalamika. Tofautitofautisha kulalamika na kuuliza. Wamenijibu na mzigo nimepata
Melanny said: Si uawasiliane nao na uwaeleze kuliko kulalamika humu jf Click to expand... Tayari . Huku sio kulalamika. Tofautitofautisha kulalamika na kuuliza. Wamenijibu na mzigo nimepata
Nyengo3 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2020 Posts 526 Reaction score 1,317 Feb 11, 2020 #11 MC44 said: Tayari . Huku sio kulalamika. Tofautitofautisha kulalamika na kuuliza. Wamenijibu na mzigo nimepata Click to expand... Bado wanatuma mkuu Ili na mimi niagize fasta ase! Sent using Jamii Forums mobile app
MC44 said: Tayari . Huku sio kulalamika. Tofautitofautisha kulalamika na kuuliza. Wamenijibu na mzigo nimepata Click to expand... Bado wanatuma mkuu Ili na mimi niagize fasta ase! Sent using Jamii Forums mobile app
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Feb 11, 2020 Thread starter #12 Nyengo3 said: Bado wanatuma mkuu Ili na mimi niagize fasta ase! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yap ila ina chelewa kidogo
Nyengo3 said: Bado wanatuma mkuu Ili na mimi niagize fasta ase! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yap ila ina chelewa kidogo
Nyengo3 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2020 Posts 526 Reaction score 1,317 Feb 12, 2020 #13 MC44 said: Yap ila ina chelewa kidogo Click to expand... Poa kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
MC44 said: Yap ila ina chelewa kidogo Click to expand... Poa kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app