katika ulimwengu wa sasa mtu anapofika umri wa miaka 30 nakuedelea uwa ujiwekea ukomo wa kufanya jambo farani ata liwe na manufaa makubwa.
Uwa anakuambia umri ushaenda au kwa sasa siwezi nikaazisha biashaaa hii nikafanikiwa nitakuwa napoteza ela zangu mafao yangu.
Wanajisaahu kuwa hamasa ya kweli na mafanikio dhabiti ya naazia kutoka moyoni, hata wale wanaotumia vilevi au madawa ya kulevya bangi sigara huwa wanasema kuwa siwezi kuacha kitu hiki.
Wanasahau kuwa kile kitu anacho king'ang'a kinamletea madhara gani katika afya yake na mwili wake kiujumla mana akuna kitu ambacho utafanikiwa kukiacha au kufanya kama wewe ushajiwekea moyoni wako kuwa kitu fani siwezi kukiacha au siwezi kukifanya ata walimu wakufundishwa au madactari bigwa kufanyiwa kazi. na kutwangwa maji kwenye kinu,
unapoitaji kufanya kitu.
Chochote katika dunia hii na kukuletea matokeo chanya jiamini pia jikubari amini utashinda,
Na kuwa mtumwenye mafanikio makubwa mambo yakufanya unapoa amka wewe jipe imani kuwa mimi ni Mshindi wakati wote nawe utashinda naakuna mafanikio yanayokuja kwa kusema kesho nitafanya au kesho nitaacha miadahati utakuwa unajidanganya.
usiseme kesho naacha sema hivi leo naazisha baiashara leo naacha miadahati amini utafika mbali kila jambo unalolitakaa likuletee matokeo chanya kama biashara atapenda nakama kuwacha miadahati atakua kuchukia hutaji na utumiaji daima utafika mbali katika mafanikio yako.
usikatishwe na vitu vidogo vidogo au changamoto flani wewe weka akuna kutimiza malengo yako kwa changamoto na akuna changamoto bila changamoto hivyo yapaswa kujitoa muanga mahitaji simama imara amini utashinda.
Usikubari kuhidumaza akili yako kwa kusema siwezi kufungua biashara kwa kuwa umri ulisha kwenda au nikifanya biashara ya jamii inayozunguka itanichuliaj, ukiwa mtu wa namna hii daima uwezi kuwa na maendeleo.
Chakufanya jali masilai yako na kesho yako usifatiche maneno ya mtu kama hana msaada kwako.