Bado hatujamkubali Timbulo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado hatujamkubali Timbulo?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mrimi, May 8, 2012.

 1. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Aliponza tulisema anacopy nyimbo, ingawa hata hivyo aliziimba vizuri.
  Kwa huu wimbo mpya wa Samson na Delila dogo kaimba fresh, hata kama itatikea ameucopy.

  Sali ni je bado dogo hatujamkubali?
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nitaupateje mkuu?
   
 3. serio

  serio JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  mzee wa kukopy na ku paste nyimbo huyo..
   
 4. d

  debon Senior Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hapa kama anacopy yuko juu anajua kuimba
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ushasema ni timbulo sasa unataka watu wamuamini vp? Wimbo wake wa kwanza aliutoa zamani lkn haujashika hata kwenye 3000 bora,ndio alipoanza kazi yake ya utimbulo wa nyimbo za watu,ngoja tuingie youtube tutaupata tu huu wimbo wake mpya! Huyo Jamaa ni bingwa wa kucopy!
   
 6. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  dogo anajua kumiliki steji namtabiria atakuja kukamata kiaina!
   
 7. S

  SHERRIE Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata atunge wimbo wa taifa mpya mi bado sijamkubali wala nini.
  Arudie tu kufundisha chekechea buguruni.
   
 8. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Dogo anaimba vizuri. Nadhani kama ataendelea hivi atafanya vizuri huko tuendako.
   
 9. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Vipi kama wangetokea watu kadhaa wakaamua kukukatisha tamaa kwa kila kitu unachofanya, ungejisikiaje mkuu?

  Kwamba, hata ukifanya vizuri namna gani, wao wakuambie hata ufanye nini hutafanya kitu kizuri machoni pao?

  Yaani, kwa tafsiri nyingine ni kwamba wao hawataki maendeleo yako kwa vyovyote vile, hao watu ungewaita wana roho gani?
   
 10. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Video yake sina hakika kama imetoka ila hapa kuna audio.
   
 11. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Kuna mtu kakulazimisha?
   
Loading...