Bado hatua chache kwa Tanzania kuingia uchumi wa kati

Lengo hili litafikiwa tu kama tutadhibiti ongezeko la watanzania. Kwa kasi ya kuzaana tuliyonayo kwa sasa, bado habari hizi zitabaki kuwa nadharia au itatuchukua muda mrefu zaidi.
 
Lengo hili litafikiwa tu kama tutadhibiti ongezeko la watanzania. Kwa kasi ya kuzaana tuliyonayo kwa sasa, bado habari hizi zitabaki kuwa nadharia au itatuchukua muda mrefu zaidi.
Kuzaliana sio kikwazo cha maendeleo mkuu...wengi wa watanzania wanazaa watoto chini ya sita...wanaozaa zaidi ni wamasai na wasukuma lakini wana utajiri mkubwa ambao haujarasimishwa na kuingizwa kwenye database za kiuchumi
 
Ushapokea check yako ya buku saba siyo
IMG_20190318_204413.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
With a Gross National Income of $910, #Tanzania is actually getting close to the $995 threshold level of a middle-income country. The question is: how to maintain the momentum of growth" - Yutaka Yoshino #WorldBank #HappeningNow

My Take:
Tuendelee kumsupport Rais Magufuli kwa nguvu zote...tumpe changamoto na ushauri wa kweli ili tufanikiwe kama Taifa.
Ni matarajio yangu kuona nchi yangu inafika mbaki kiuchumi. Ila sio kumpongeza rais maana anatimiza majukum yake ambayo tumemtuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
With a Gross National Income of $910, #Tanzania is actually getting close to the $995 threshold level of a middle-income country. The question is: how to maintain the momentum of growth" - Yutaka Yoshino #WorldBank #HappeningNow

My Take:
Tuendelee kumsupport Rais Magufuli kwa nguvu zote...tumpe changamoto na ushauri wa kweli ili tufanikiwe kama Taifa.
Uko sahihi:
The world's Middle Income Countries(MICs) are a diverse group by size, population, and income level. They are defined as lower middle-income economies - those with a GNI per capita of between $1,006 and $3,955; and upper middle-income economies - those with a GNI per capita of between $3,956 and $12,235 (2018). This is according to the Mar 27, 2018 World Bank definition. So very soon (definately before 2025) we shall become a lower middle income country by the World Bank definition.
 
Tuzidishe kusafirisha bidhaa zetu nje na kutoa vibali kwa urahisi
Hivi hakuna hata web resources ambazo zinakupa access zote za usafirishaji nje?
Kama hata pilipili zetu hazionekani nje tutaingizaje hela za kigeni kufika tunakotaka?

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Labda huo uchumi wa Kati utaingia pale mtakapojipanga kwenye mstari mmoja wewe,Jiwe na Bashite then mwambie Mpango awapikie data za uchumi then apitishe katikati yenu,huo ndio uchumi wa Kati utakavyoingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ukweli mtupu, kupata vibali vya kupeleka vitu nje ni process inayokula Sana muda na gharama hadi kero. Serikali ingekazia sana kwenye kurahisisha hili ikiwezekana mtu aweze pata kibali ndani ya saa 48 bila vitanzi vya tra shingoni.

Back
Top Bottom